Kama Mtanzania ninapenda kujua, vipi kama nitaibiwa simu na line yangu kutumika kufanya uhalifu?
Vipi nitakuwa na kesi ya kujibu au?
Hakuna uwezakano kwamba line zetu zitakua potential target kwa majambazi?
Cha kuomba ni kwamba kabla hujafanikiwe kufika huko kote walioba wasije kufanya tukioMajibu umeshayapata kiutaratibu utakapo potelewa na kitu chochote nenda polisi katoe taarifa watakupa loss report, baada ya hapo nenda kwenye ofisi za mtandao husika wataiblock na kuswap lain yako na kuendelea na mawasiliano kwa namba yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
ndiyo utakuwa na kesi ya kujibu endapo utakua haujareport polisi na kupewa loss report.Kama Mtanzania ninapenda kujua, vipi kama nitaibiwa simu na line yangu kutumika kufanya uhalifu?
Vipi nitakuwa na kesi ya kujibu au?
Hakuna uwezakano kwamba line zetu zitakua potential target kwa majambazi?
Hakuna mlolongo wowote ukienda kuripoti polisi unapewa loss report afu unaenda kurenew laini yako
Bado kitambo kidogoBREAKING NEWS
Ndani ya muda gani niwe nimwtoa taarifa?...kuna muda utapoteza line. Wakati uko kwenye process za kuitafuta ukawa umechelewandiyo utakuwa na kesi ya kujibu endapo utakua haujareport polisi na kupewa loss report.
We haujatukana unaposema unabishana na Mtu ambaye Uelewa wake uko chini?! Mimi natestify kitu ambacho nakijua! inawezeka Wewe unaishi nje ya Kigoma unaleta ubishi usio na maana!Duh! Asante
Kutukana nahisi ndio kitu unachokijua na unahisi matusi unayajua wewe tu.
punde baada ya kuibiwa.Ndani ya muda gani niwe nimwtoa taarifa?...kuna muda utapoteza line. Wakati uko kwenye process za kuitafuta ukawa umechelewa
Endelea kusubiri wewe huyo mtu wako atarudi na tamko la kutengua matamko yake mengine ya nyuma
Kasajili laini, acha visingizio ndugu, tumeshachoka kutapeliwa na wale wazee wa "hiyo pesa tuma kwenye namba hii.."Na kwan nini,iwe usajili kwa kutumia kitambulisho cha nida wakati kama issue ni finger print ,siku hizi kuna e-passport,TRA,driving license,huko kote usajili unafanyika kwa alama za vidole .Hivi vitu vingetumika ,kama wanayo e-government wanashindwa vipi information za muhusika wakati zote ziko kwenye mifumo yao.Zoezi jepesi ila wanalifanya gumu sana ,tunapoteza muda kwenye mambo madogo sana
Vipi ulishawi kupoteza line?hata uibiwe bosi na line si zinazimwa Huyo jambazi atatumiaje hiyo line
Sent using Jamii Forums mobile app
Bora umekiri uzembe wako. Wengine ni kama wewe lakini lawama wanazotoa utadhani walijiandikisha miaka mia iliyopita kumbe walipuuzia[emoji3].Hapa nilipo nasubiri namba ya nida kama nitatumiwa, cos nimejiandikisha alhamis! But simlaumu Mh Rais wala TCRA, najilaumu mwenyewe kwa uzembe wangu!
Tangia 2008 zoezi la kutoa vitambulisho vya taifa lilitangazwa, leo miaka takribani 9 imepita bado sina kitambulisho...! Uzembe wangu umenicost ngoja niwajibike.
Nilichogundua ni hiki,io mifumo yote ya nida,tra nk pamoja na zote kutumia fingerprint bado haziko linked.Na kwan nini,iwe usajili kwa kutumia kitambulisho cha nida wakati kama issue ni finger print ,siku hizi kuna e-passport,TRA,driving license,huko kote usajili unafanyika kwa alama za vidole .Hivi vitu vingetumika ,kama wanayo e-government wanashindwa vipi information za muhusika wakati zote ziko kwenye mifumo yao.Zoezi jepesi ila wanalifanya gumu sana ,tunapoteza muda kwenye mambo madogo sana
Kama Mtanzania ninapenda kujua, vipi kama nitaibiwa simu na line yangu kutumika kufanya uhalifu?
Vipi nitakuwa na kesi ya kujibu au?
Hakuna uwezakano kwamba line zetu zitakua potential target kwa majambazi?