Kuelekea laini za simu zisizosajiliwa kuzimwa; Ushauri wa namna bora ya kufanya ili kutovunja sheria za nchi

Mapato ya kutokana na matumizi ya simu ni zaidi ya tunavyofikiri...everybody (watu walau kuanzia miaka 15) has a gadget and its transacting

Nlisoma sehemu kando ya Sekta ya Madini
Telecom Industry inafuatia kwa mapato nchini

Mfano mdogo tu kila vocha kuna VAT
Hawawezi kuzima
 
Yani kesho wakizima ntaamini hatuna Viongozi
 
Kivumishi Kielezi, laini zitazimwa na maisha yataendelea kama kawaida, haitakuwa mwisho wa maisha. naamini tutachangamka tu na tutasajili tu.
awana zinaenda Nida lakini wengi tusio na namba za NIDA tulipuuzia kufuatilia kwasabu ya ule mlolongo wake. kwaio sahiz ndo tupo hati hati tunataka vitambulisho.

NIDA hawawezi kutoa kwa haraka kwasababu watu ni wengi
 
More 10 days😁😁😁😁tetesi
Key issue naona sio usajili wa line
Key issue ni NIDA navoona
Ila NIDA imempa kila mwananchi stahiki kitambulisho kweli?.

japo kwa kiasi flani wamefanikiwa kupush volume na hii pressure
 
Hio loss of revenue ambayo washaiweka kwenye 'budget' watafidia vipi?.

kampuni za simu zitakubali kupoteza mapato?..
Wakizima wajiandae

Kila kitu kina faida na hasara
 
Mkuu unaongelea Vitu viwili tofauti, Kingamuzi kilikua hakina Maana, Tofauti na Laini Ya Simu


Huu Ujinga uwa Mnanunua Duka gani? Kwa kua Wewe umeshapata Namba unaona sawa tu watu Kuzimiwa?
 
Hili nimeliona kwenye suala zima la NIDA. Baadhi tumetimiza/wametimiza wajibu wao kujaza taarifa zote ili wapate vitambulisho au namba lakini kwa sababu za Serikali hawajapata namba ili kusajili line zao.

Basi wale waliofanikiwa hawawafikilii kabisa ndugu zao ambao bado na ndugu zao walioko vijijini. Vijembe na kejeli ndo nyingi badala ya kuungana na kuieleza serikali kuwa iangalie uamuzi wake kwa kina.

Ndugu zangu acheni unafiki. Msidhani kila mara na kila occasion mtakuwa wa kwanza kufanikiwa nyinyi tu. Tusaidiane.
 
Ss Mkuu ukiwafikiria wa Kijijini utaweza kuwasajili?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…