Sibonike
JF-Expert Member
- Dec 23, 2010
- 17,296
- 18,027
Kivumishi Kielezi, Kesho anaweza kuibuka na kuongeza muda. Kitachofuata ni pongezi kutoka kila pembe ya nchi. Kiongozi wa wanyonge. Mtu wa watu nk.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Serikali ilishasema haishauriki, ila ukiona watu kila kukicha wanazidi kutoa ushauri sambamba na kukosoa yale matendo maovu bila kujali usalama wa maisha yao basi ni kwamba watu wana nia NJEMA na taifa lao
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha uongo hata jina ulikuwa umeweka xab ziro[emoji16][emoji16][emoji16] hapana mkuu picha ndiyo zinafanana labda na nilikua cjui kama huyo jamaa anatumia picha kama hiyo ila nitafanya mpango niibadilishe
Sent using Jamii Forums mobile app
Yani kesho wakizima ntaamini hatuna ViongoziHabari: Mhadhiri Mstaafu wa Chuo Kikuu Cha Sokoine Dkt. Silvery Ishuza ameshauri serikali kusitisha zoezi la kufunga namba za Simu ambazo hazijasajiliwa kwa kutumia alama za vidole ili kuepusha mdororo wa uchumi unaoweza kujitokeza.
View attachment 1328621
MIMI PIA NAUNGA MKONO KAULI HII YA PROFESSOR.
Source: ITV
Sent from my iPhone using JamiiForums
Key issue naona sio usajili wa lineMore 10 days😁😁😁😁tetesi
Hio loss of revenue ambayo washaiweka kwenye 'budget' watafidia vipi?.laini zitazimwa na maisha yataendelea kama kawaida, haitakuwa mwisho wa maisha. naamini tutachangamka tu na tutasajili tu.
lawana zinaenda Nida lakini wengi tusio na namba za NIDA tulipuuzia kufuatilia kwasabu ya ule mlolongo wake. kwaio sahiz ndo tupo hati hati tunataka vitambulisho. NIDA hawawezi kutoa kwa haraka kwasabu watu ni wengi
Mkuu unaongelea Vitu viwili tofauti, Kingamuzi kilikua hakina Maana, Tofauti na Laini Ya SimuWatu watasajili tu na utashangaa kila mtu soon atakuwa na laini iliyosajiliwa. Hata mfumo wa analojia watu walipinga sana kuwa watu hawana uwezo wa kununua vingamuzi mara sijui nini lkn mfumo ulizimwa na hadi leo maisha yanaendelea. Mabadiliko ni threats kwa watu wengi lkn baada ya muda mchache wanazoea na maisha yataendelea kama kawa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ss Mkuu ukiwafikiria wa Kijijini utaweza kuwasajili?.Hili nimeliona kwenye suala zima la NIDA. Baadhi tumetimiza/wametimiza wajibu wao kujaza taarifa zote ili wapate vitambulisho au namba lakini kwa sababu za Serikali hawajapata namba ili kusajili line zao.
Basi wale waliofanikiwa hawawafikilii kabisa ndugu zao ambao bado na ndugu zao walioko vijijini. Vijembe na kejeli ndo nyingi badala ya kuungana na kuieleza serikali kuwa iangalie uamuzi wake kwa kina.
Ndugu zangu acheni unafiki. Msidhani kila mara na kila occasion mtakuwa wa kwanza kufanikiwa nyinyi tu. Tusaidiane.
Ukishapiga picha kaa wiki mbili au moja ingia kwenye website yao utaipata namba yako.
Laini yangu sijaisajili, leo nilitaka kukopa nipige tafu naambiwa natakiwa niwe mteja wa Vodacom kwa siku 30, wakati huo laini ina zaidi ya miaka 10
Sent using Jamii Forums mobile app