Mkuu si nasikia wameshaongeza siku 5, hebu tujuzeni kama ni kweli?Kivumishi Kielezi, Kesho anaweza kuibuka na kuongeza muda. Kitachofuata ni pongezi kutoka kila pembe ya nchi. Kiongozi wa wanyonge. Mtu wa watu nk.
Mimi hata wakizima sasa hivi poa tu haina madhara yoyote kwangu nataka nipate break ya kutumia haya makolokolo.
Ni hakika wengi hawajaweza kusajili simu zao na sababu ni NIDA kushindwa na pia tabia ya wananchi kusubiri deadlines.
Nashauri laini hizi zisizimwe bali tozo ya shilingi 1000 iwekwe kwa kila siku itakapochelewa kusajiliwa. Pesa hizo ziende moja kwa moja Serikalini. Pia zoezi la usajili liwe endelevu.
Hujaelewa point... unazima simu ya mtu kwa kosa la NIDA..??Watu watasajili tu na utashangaa kila mtu soon atakuwa na laini iliyosajiliwa. Hata mfumo wa analojia watu walipinga sana kuwa watu hawana uwezo wa kununua vingamuzi mara sijui nini lkn mfumo ulizimwa na hadi leo maisha yanaendelea. Mabadiliko ni threats kwa watu wengi lkn baada ya muda mchache wanazoea na maisha yataendelea kama kawa
Sent using Jamii Forums mobile app
Usitumie kalio kuwazaNi hakika wengi hawajaweza kusajili simu zao na sababu ni NIDA kushindwa na pia tabia ya wananchi kusubiri deadlines.
Nashauri laini hizi zisizimwe bali tozo ya shilingi 1000 iwekwe kwa kila siku itakapochelewa kusajiliwa. Pesa hizo ziende moja kwa moja Serikalini. Pia zoezi la usajili liwe endelevu.
Wanazima line za simu,Mwananchi wakati wa kujiandikisha kaweka namba yake ya simu hapo.
Kesho namba inatoka NIDA, watampata vipi mwananchi kumpa taarifa za namba yake .
Nakuunga mkono. Zizimwe, anayehitaji sana simu kwa sababu ya maana atafuata utaratibu akaifufue.Sikubaliani na wazo lako. Zizimwe tu, kuwe na "control" ya uhakika ya watumiaji.
Na ndipo NIDA watafanya bidii kwa kila anaestahiki kitambulisho apatiwe haraka sana.
Iwapo mtu akakusajilia kwa jina lake inakuaje kisheria? au hakuna chochote kitachotokea.Ha kumbe...!
Usalama wa Watanzania ni zaidi ya tarakimu. Zizimwe tu.Nakuunga mkono. Zizimwe, anayehitaji sana simu kwa sababu ya maana atafuata utaratibu akaifufue.
Simu hizi zinatugharimu sana, na kinachosababisha tuwe nazo ni urahisi wa kuzipata. Bora zizimwe, ukiritimba huu utasaidia kupunguza watumiaji wa simu, wanunuzi wa data za kuangalizia shilawadu na vitu kama hivyo.
Simu moja kwa wastani inatumia si chini ya sh 10,000 kwa mwezi kwenye anasa isiyokuwa muhimu. Imagine kwa simu zaidi ya milioni 10 ambazo hazijasajiliwa ni pesa ngapi zitaokolewa? Zizimwe tu.
Zinazimwa kuokoa pesa zinazopotea kununulia mabando ya kuangalizia shilawadu kwenye youtube na mawasap. Pesa nyingi sana inapotelea kwenye ujinga. Zima zote tuokoe gharama.Naomba kujua, ni faida zipi zitakazopatikana kwa kufungia laini za watanzania milioni ishirini kwa sababu zisizo na mashiko?
Kuna watu wanaishi kwa miamala ya simu.
Kuna watu wanaishi kwa kutumia internet.
Miamala ya benki na biashara yote inahitaji simu!
Kadi za NIDA hakuna. Na simu zinazimwa!
Vitambulisho vya kura na leseni hawataki. Wanataka NIDA. Bila NIDA hakuna kusajili.
Hakuna guarantee kwamba NIDA watatoa namba upesi baada ya laini kufungwa.
Kwahiyo watu wataishi bila mawasiliano kwa muda usiojulikana mpaka pale NIDA watakapojisikia kutoa kadi na namba!
Haya yote yanafanywa kwa ajili ya nani? Kuna motive gani nyuma ya huu uovu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Usipotoshe watu ndugu nakwambia zitafungwa kabisa mpaka utaposajiliHakuna line itakayofingwa kwa kutokusajiliwa kwa alama za vidole na namba ya NIDA na kama watagunga basi kesho kabla jua halijazama watafungua
Hata kama una miaka 16kitambulisho cha taifa unastahili kupata kuanzia umri upi?