Hakuna kuongeza muda tumechoka kila mara kuongeza muda! Wao waendelee kujisajiri tu lakini simu zao zikiwa zimefungwa wakimaliza kusajiri zifunguliwe! Rais ameongeza mara mbili July 2019 na Dec 2019!!Wananchi katika mikoa mbalimbali ikiwemo Kilimanjaro, Mwanza, Shinyanga na Dsm wamemuomba Rais Magufuli awaongezee muda wa kusajili line za simu kwa njia ya vidole.
Wananchi hao wamedai kwa kiasi kikubwa NIDA ndio kikwazo cha wao kuchelewa kwani wengine wanafuatilia vitambulisho kuanzia mwezi June mwaka jana.
Source ITV habari!
My take; Serikali ya awamu ya 5 ni sikivu!