Hakuna kuongeza muda tumechoka kila mara kuongeza muda! Wao waendelee kujisajiri tu lakini simu zao zikiwa zimefungwa wakimaliza kusajiri zifunguliwe! Rais ameongeza mara mbili July 2019 na Dec 2019!!Wananchi katika mikoa mbalimbali ikiwemo Kilimanjaro, Mwanza, Shinyanga na Dsm wamemuomba Rais Magufuli awaongezee muda wa kusajili line za simu kwa njia ya vidole.
Wananchi hao wamedai kwa kiasi kikubwa NIDA ndio kikwazo cha wao kuchelewa kwani wengine wanafuatilia vitambulisho kuanzia mwezi June mwaka jana.
Source ITV habari!
My take; Serikali ya awamu ya 5 ni sikivu!
TCRA na TRA zote ni Taasisi za UmmaTCRA wanaweza kuzima kwa kuwa wao hawajui mambo ya VAT Mambo ya VAT wahusika ni TRA
We komaa kiboya tu,unafikiri wote walioshindwa jisajili tatizo ni lao?
Wengine tunatumia simu kujiingizia kipato, unaionea huruma serikali wakati makosa ni yao wenyeweWabongo jmn sio watu wazuri
Na serikali ikose kodi pia?.
Serikali ikikosa unaekosa ni wewe piaWengine tunatumia simu kujiingizia kipato, unaionea huruma serikali wakati makosa ni yao wenyewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera Kaka ...walipewa mwaka mzima wa kujisajil tusemeAkiongeza muda watu hawatajifunza kutii maelekezo ya serikali,asiongeze tuone itakuwaje
Sent using Jamii Forums mobile app
Umemalzia na kiitikio kizuri sana Ila sahauni ...Wananchi katika mikoa mbalimbali ikiwemo Kilimanjaro, Mwanza, Shinyanga na Dsm wamemuomba Rais Magufuli awaongezee muda wa kusajili line za simu kwa njia ya vidole.
Wananchi hao wamedai kwa kiasi kikubwa NIDA ndio kikwazo cha wao kuchelewa kwani wengine wanafuatilia vitambulisho kuanzia mwezi June mwaka jana.
Source ITV habari!
My take; Serikali ya awamu ya 5 ni sikivu!
Mimi nikikosa kipato serikali itapata wapi? Kwa asilimia kubwa tatizo ni la kwao. Na hakuna aliewalazimisha wazifunge.Serikali ikikosa unaekosa ni wewe pia
Mana unapata baadhi huduma kutokana na mapato ya Serikali mfano mdogo tu barabara,afya na elimu
Ni kweli!Hio loss of revenue ambayo washaiweka kwenye 'budget' watafidia vipi?.
kampuni za simu zitakubali kupoteza mapato?..
Wakizima wajiandae
Kila kitu kina faida na hasara
Acha uongo vijijini ndiyo wameshajisajiri mapema sana labda kijijini kwenu!Hata pale mwananchi anaponyanyaswa na serikali yake bila hatia kazi yako ww nikujikomba kwa jiwe ili upate mlo!
Nani kalalamika hapa kwamba ana namba ya NIDA na ameshindwa kusajiri?
Hata hivyo, wakati wewe unasifu na kuabudu watawala walio kosa hekima, ukidhani mnawakomoa wapinzani,
ndg zako huko kijijini wanasota na NIDA na hawajafanikiwa kupata hata namba na ni miongoni mwa watakaofungiwa line zao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kweli wakifunga binafsi ntashangaa sanaMimi nikikosa kipato serikali itapata wapi? Kwa asilimia kubwa tatizo ni la kwao. Na hakuna aliewalazimisha wazifunge.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama mbwai iwe mbwaii sioo
Kumbe ushetan mnatofautiana hapo lumumba.Wew utakua ni boss wao bila shakaAkiongeza muda watu hawatajifunza kutii maelekezo ya serikali,asiongeze tuone itakuwaje
Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera Kaka ...walipewa mwaka mzima wa kujisajil tuseme
Kila mwez wanaenda wangeenda NIDA Mara 12 tu sasa waongezwe mda wa nn??
Hata mm nakusuport mkuu ........zifungiwe tu