Hivi la simu fake liliishia wapi ? Ni kweli hawawezi zima kwa mara moja. Nadhani itakuwa chache chache.Umejuaje? Ninachojua hawana uwezo huo. Nawashangaa watu wanaoenda kupoteza muda wao kusimama kwenye misururu mirefu eti kutafuta namba ya nida ili kusajili line za simu! Sipangi mstari na nitawasiliana nipendavyo, na nitaenda kusajili nikiwa na muda.
Dah pole sana mkuu. me nakumbuka nilijiandika tar 31/12/2017 nikakaa week 2 tu nikaenda kufata hard copy yangu nikaipata. Nadhani hicho kipindi watu wengi walikuwa wameshakata tamaa.Naomba kutofautiana na wewe kwenye hili... Wananchi walijitokeza kwa wingi sana 2013.. Foleni zilikuwa ndefu mno watu wakaacha kazi.. Mimi nakumbuka nilienda mara 3 pale Riverside ubungo, kila nikifika watu walishafika tangu alfajiri.. Hatimaye nikafanikiwa kujiandikisha siku ya nne
Mpaka kufika 2014 nikawa bado sijapata kitambulisho
Siku moja nikaenda bank pale mlimani city nikakuta tangazo la kusajili tena kupitia bank.. Nilafanya hivyo kwa mara ya pili nikaambiwa nisubiri nitapata ujumbe wa NIDA.. Ikawa holla mpaka nilipoenda kujisajili tena 2019 ambapo ilinichukua miezi sita kupata number na si kilambusho kwa maana ya hard copy na mpaka leo bado
Je ni wangapi wamehangaika na kuhangaishwa kama mimi? Hiyo 2018 unayosemea wewe watu walikuwa wamekwisha kata tamaa... Hivyo kuwalaumu pekee bila serikali si sahihi
Jr[emoji769]
Sasa wamefunga message inaingia kivipi?
Nimesubiri sana nione line zinavyozima lakini naona hazizimi au zimeanzia Kigoma?
Walisema Watanzania wasio na usajili wa simuWatakatiwa mawasiliano leo
Ofisa Mwandamizi Mkuu wa TCRA, Semu Mwakyanjala, anapeleka ujumbe kwa Watanzania ambao wanamiliki laini za simu zinazofikia jumla ya milioni 21.4 ambazo hazijasajiliwa kwa alama za vidole na zitazimwa leo, wawe na uhakika kuwa fedha zao zitakazokuwa kwenye laini hizo, zitakuwa salama kwa muda wa miezi mitatu.
Kwahiyo kutoka 2014-2019 ulikosa ila wengine walipata mfano mimi nilichelewa sikujiandikisha mapema ila nilikomaa mpaka nikapata kitambulisho tukubali tu tulizembea sana japo kwa sasa tunajisahau mno na kuona serikali haiwezi kufanya chochoteNaomba kutofautiana na wewe kwenye hili... Wananchi walijitokeza kwa wingi sana 2013.. Foleni zilikuwa ndefu mno watu wakaacha kazi.. Mimi nakumbuka nilienda mara 3 pale Riverside ubungo, kila nikifika watu walishafika tangu alfajiri.. Hatimaye nikafanikiwa kujiandikisha siku ya nne
Mpaka kufika 2014 nikawa bado sijapata kitambulisho
Siku moja nikaenda bank pale mlimani city nikakuta tangazo la kusajili tena kupitia bank.. Nilafanya hivyo kwa mara ya pili nikaambiwa nisubiri nitapata ujumbe wa NIDA.. Ikawa holla mpaka nilipoenda kujisajili tena 2019 ambapo ilinichukua miezi sita kupata number na si kilambusho kwa maana ya hard copy na mpaka leo bado
Je ni wangapi wamehangaika na kuhangaishwa kama mimi? Hiyo 2018 unayosemea wewe watu walikuwa wamekwisha kata tamaa... Hivyo kuwalaumu pekee bila serikali si sahihi
Jr[emoji769]
Usalama wa watanzania ni wao waamue wenyewe hatima yao, yaani yaanzishwe maandamano taifa zima hadi vijijini ili kumtoa huyu Dikteta mshamba na katili na CCM yakeSuala la NIDA. inawezekanaje mtu analala akiwa hajui hatma ya mawasiliano yake? Yaani watu wanakesha kama wanasubiri mwaka mpya. Hawajui kama watafungiwa au la!!
Hii inatisha sana kwa mustakabali wa taifa. Wakati wa kuandikisha wapiga kura na kutoa vitambulisho vya kupigia kura mnafika hadi kwenye kata. iweje hivi vya NIDA serikali ishindwe?
Kuna ulazima gani wa kufanya sasa kwamba lazima kila mtu ajisajili kwa kitambulisho cha NIDA ili hali mkijua hali halisi ilivyo!! Na sheria kandamizi eti ukimsajilia mtu naenda jela?
Ndugu zetu, wazazi wetu huko vijijini tutawasiliana nao vipi na tukiwasajilia huku mnatufunga?
IFIKIE HATUA WATANZANIA TUWE NA HATMA YA MAISHA YETU MIKONONI MWETU. HIKI KIKUNDI CHA WALIOSHIBA MADARAKA KITALIANGAMIZA TAIFA
Sent from my iPhone using JamiiForums
Haya majitu mashenz ya CCM hayajitambui kabisa, yaani unaanzisha kampeni ya kuzuia simu feki wakati hata hamna uwezo wa kutengeneza simu yoyote ile
Hii offer na mimi nimeipata but nime-doubt kitu kimoja,ikitokea nimepoteza line kisha nikahitaji kuirudisha kama huyu aliyenisajilia hajawa karibu bado mitihani itakuwa ile ile tu cos hatutegemei kama binadam kuwa karibu muda wote kuna kuhama eneo,kifo nk so nilichoamua acha wafunge line {ninazo tatu} nitarudi zama za mawe kwa muda halafu kama kufuatilia nitaanza pale NIDA foleni itakapoisha pia watakapoboresha huduma zao.Nina line 2. Moja nimesajili kwa kitambulisho cha jamaa (ili nijihadhari na kutokuwepo kwenye mawasiliano)... Nyingine (ya kwangu ya siku zote) sijasajili. Hii ya kwangu ikifungiwa haina shida coz watu wangu hawatonikosa hewani kwa hii nyingine na JF nitaendelea kuenjoy π π π
HIVI NDIVYO NILIVYOJIANDAA KISAIKOLOJIA.
Aisee! mmeanza kupona magonjwa yenu ya akili mmoja mmoja hadi mtapona woteNlikuwa namtetea sana Makonda ila kwa upumbavu wake alioongea jana nmemdharau sana!
Jamaa ni kama hajatoka kijijini vile yani. Maneno kama yale ilitakiwa waongee kina Rizi one watoto wa mjini wasiojua shida za watu huko mashambani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi bado sijazimiwa.... Ngoja nione kesho Kama watazima...
Yaan foleni nida itayeyuka kuanzia kesho Kama hawatozima
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo kutoka 2014-2019 ulikosa ila wengine walipata mfano mimi nilichelewa sikujiandikisha mapema ila nilikomaa mpaka nikapata kitambulisho tukubali tu tulizembea sana japo kwa sasa tunajisahau mno na kuona serikali haiwezi kufanya chochote
Sent using Jamii Forums mobile app