Victoire
JF-Expert Member
- Jul 4, 2008
- 24,386
- 57,588
Hivi la simu fake liliishia wapi ? Ni kweli hawawezi zima kwa mara moja. Nadhani itakuwa chache chache.Umejuaje? Ninachojua hawana uwezo huo. Nawashangaa watu wanaoenda kupoteza muda wao kusimama kwenye misururu mirefu eti kutafuta namba ya nida ili kusajili line za simu! Sipangi mstari na nitawasiliana nipendavyo, na nitaenda kusajili nikiwa na muda.