ase yajayoo yanafrahisha😀Watakuwa wameuiba kama walivyoiba vifaa vya NIDA.
Mkuu niwie radhi, sijafungua mapema hii app, nadhani umeshaupata ufafanuzi wa kina kwa kutwa nzima hii, au siyo.Wewe ni mwalimu wa shule gani utoe hiyo "homework" ?
Kama unayo habari tofauti weka hapa watu waisome. Usicheze na muda na nafasi.
Umesoma St. Anthony nini mwenzetu?Hizi LILA na FILA ni nini..?
Mkuu...NIDA na RITA wangeunganishwa "Data synchronization" ingekuwa jambo la busara sana..... kwa sasa taasisi hizi mbili za serikali ni sawa na lila na fila (hazitangamani)
Inawezekana ukaona ni kirahisi rakini ndio ukweli wenyewe huo ukitaka kuwa salama na kupata haki zingine ni lazima uende polisi kwanza.Umengoa kirahisi sana...bila shaka hujakutana na changamoto ya kupotelewa na line au simu
Wengi hatuna utaratibu kwamba ukipotelewa na vitu kama hivyo unaenda polisi ghafla...Wengi wanaenda badae sana kwa lengo la ku-renew line tu
Hayo Ni mawazo yako na hatuwezi kuyapuuza. But I, tried to consider the difference between humanity Vs humility. Na sikuwa kwenye fikra za kisiasa kabisa.Hapa kuna nini. Anataka kugombea kitu huyu mtu?
Ndizi inanunua kura, hayo utayaona Tanzania pekee!
Na wala sikulaumu yeyote hapo, hasa wewe mleta habari. Ilikuwa ninajiuliza swali tu?Hayo Ni mawazo yako na hatuwezi kuyapuuza. But I, tried to consider the difference between humanity Vs humility. Na sikuwa kwenye fikra za kisiasa kabisa.
Aaaah yaan apo wananitaadharisha wataifungia sio..?Sio ya nida. Airtel wanacheki mitambo yao kwa kukushtua usajili
Aaaah yaan apo wananitaadharisha wataifungia sio..?
yess BiShoo haswaaAaa
Aaah ahsante sana dada [emoji120] hii lugha ya malkia wngne inatuchanganyaga mda mwngneHapana hapo wanachezea mitandao yao tu wala hawakupi kitisho.
We jamaa unamasihara sanaNiajeeeh leo usiku nmetumiwa meseji hii apa chini ila kwa kiingereZa asa maneno aya nmeshindwa kuyaelewa vzuri wakuu halafu mi hata kwenda nida sijawahi je ina maana gani View attachment 1331247
yess BiShoo haswaaAaa
Aaaah kwann sasa
Kweli ww ni EVILMkiandikiwa meseji za I love you MnaelewA ika za NIDA hamuambulii kitu,subiri you will read the number(utaisoma namba)