Kuelekea laini za simu zisizosajiliwa kuzimwa; Ushauri wa namna bora ya kufanya ili kutovunja sheria za nchi

Kuelekea laini za simu zisizosajiliwa kuzimwa; Ushauri wa namna bora ya kufanya ili kutovunja sheria za nchi

NIDA na RITA wangeunganishwa "Data synchronization" ingekuwa jambo la busara sana..... kwa sasa taasisi hizi mbili za serikali ni sawa na lila na fila (hazitangamani)
Mkuu...

Lila na fila= "ubaya/uovu" na "wema/uzuri"

Havitangamani= havichanganyiki (havikai pamoja)

Sasa sijui concept yako ilikuwa ni nini hapo...!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umengoa kirahisi sana...bila shaka hujakutana na changamoto ya kupotelewa na line au simu

Wengi hatuna utaratibu kwamba ukipotelewa na vitu kama hivyo unaenda polisi ghafla...Wengi wanaenda badae sana kwa lengo la ku-renew line tu
Inawezekana ukaona ni kirahisi rakini ndio ukweli wenyewe huo ukitaka kuwa salama na kupata haki zingine ni lazima uende polisi kwanza.
 
Hapa kuna nini. Anataka kugombea kitu huyu mtu?
Ndizi inanunua kura, hayo utayaona Tanzania pekee!
Hayo Ni mawazo yako na hatuwezi kuyapuuza. But I, tried to consider the difference between humanity Vs humility. Na sikuwa kwenye fikra za kisiasa kabisa.
 
Hayo Ni mawazo yako na hatuwezi kuyapuuza. But I, tried to consider the difference between humanity Vs humility. Na sikuwa kwenye fikra za kisiasa kabisa.
Na wala sikulaumu yeyote hapo, hasa wewe mleta habari. Ilikuwa ninajiuliza swali tu?

Lakini kama hii ndio 'humanity/humility" huyu mtu atakuwa na mzigo mkubwa sana. Hao anaowagawia ndizi hawaonekani kuwa watu wenye mahitaji makubwa sana ya kupewa ndizi. Bila shaka wapo wengi tu katika maeneo hayo wanaohitaji 'humanity/humility' ya namna hiyo.
Sasa sijui kama nao amewahudumia, ila picha tu ndio bado hatujaziona.
 
Niajeeeh leo usiku nmetumiwa meseji hii apa chini ila kwa kiingereZa asa maneno aya nmeshindwa kuyaelewa vzuri wakuu halafu mi hata kwenda nida sijawahi je ina maana gani
Screenshot_20200122-221031.jpeg


yess BiShoo haswaaAaa
 
Mkiandikiwa meseji za I love you Mnaelewa ila za NIDA hamuambulii kitu,subiri you will read the number(utaisoma namba)
 
Back
Top Bottom