Northman
JF-Expert Member
- Dec 22, 2016
- 1,587
- 2,516
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NheeMbona TCRA wameshatangaza leo kuwa watazima kwa awamu. Wamesema teknolojia yao haiwezi zima laini zote milioni 10 kwa mkupuo. Wamesema leo watazima laini laki tisa na ushee.
Pia wamesema wakizima zote kwa mkupuo italete shida kwenye system za NIDA. Watu watajazana NIDA kwaajili ya kupata NIN na matokeo yake system zitakuwa overloaded na kushindwa kutoa huduma. Hivyo, zoezi la kuzima litaendelea kwa awamu. I hope umeelewa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii tabia yako ya kifala sana, kila thread unaandika huu utumbo wako. Hapa hamna watoto wenzakoHapana utulivu wake ulimfanya asisikiwe na wale mabinti watatu.. na binti aliyefuata alisema anatamani aolewe na muoka mikate wa mfalme
Nawajua watanzania wengi wenye akili timamu waliohangaika kupata vitambulisho miaka kadhaa iliyopita lakini hawakuwahi hata kupata namba. Kwa wale waliofanikiwa mapema ni sawa kuwatukana hawa, kwani mnaweza kudhani mchakato ulikuwa mwepesi mno kwa wote. Hiyo ndio hulka ya watanzania.Vitambulisho vya nida vimeanza kutolewa miaka mingi tu
Mm changu nilipata bila usumbugu mwaka juzi watanzania ni watu wa kupuuza jambo mno
Ndio mana tunawakejeli zaidi wanaohangaika sasa hivi
Waliambiwa wakabeza sana wacha mpambane na hali zenu .anyway ukiwaonea huruma ww inatosha na je nikiwaonea huruma ndio nitawasaidia nn?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata hivyo shukrani zao ilikuwa kitu Cha msingi kwaoHii tabia yako ya kifala sana, kila thread unaandika huu utumbo wako. Hapa hamna watoto wenzako
Duh mbona mimi hata sina hofu na hii issueUkisikia TBC, BBC au KTN alafu ukapita kwenye vibanda au miamvuli yenye mawakala wanaosajili unaweza kugundua tupo wapi.
Kupitia media tajwa hapo juu nimegundua hili swala limechukuliwa kama mwisho wa dunia, maana nilipopita eneo moja nimekuta watanzania wamekaa tu, sababu wanasema network inasumbua hivyo wanasubili.
Baada ya kufuatilia sana nikagundua siyo network bali ni watendaji wa NIDA wanashindwa kumudu wingi wa taarifa zinazotumwa kwao kutoka kwa mawakala nchi nzima kiasi kushindwa ku_conferm kwa wakati na kurudisha majibu.
Muda huu bado wananchi wanaangaika kwa mawakala ili line zisizimwe.
Kuondoa hofu line hazizimwi.
Nimejiandikisha mwezi wa nane mwaka jana nimeenda nida zaidi ya mara kumi bila mafanikio nikapewa namba ile kutafuta kwenye simu nikuwa natuma sms mpa usiku wa manane,, Leo mchana wamenitumia wenyewe namba ya kitambulisho changu,,, nida kibokoUlisajiandikisha lini mkubwa maana hapa kuna watu walijiandikisha kabla ya krismas lakini hawajui nini kinaendelea