Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi la simu fake liliishia wapi ? Ni kweli hawawezi zima kwa mara moja. Nadhani itakuwa chache chache.
Unaadika kama kwamba ulikuwa unafanya jambo la maana sana!. Watu kama nyie mlitakiwa mfumgiwe line na mpewe adhabu ya nyongezaNilikuwa sina mpango wa kusajili line yangu ya simu ingawa sina sababu ya msingi kabisa NIDA ninayo ile ya mwanzo kabisa ya yule aliyeshitakiwa basi tuu sikuwa nataka usumbufu ila nadhani sasa naweza sajili
Mikwara tu hiyo tar 20/01/2020. tunaendelea na mawasiliano bila namba za Nida wala kitambulisho. Binafsi nitaenda NIDA watakavyorekebisha usumbufu wao.
NIDA na RITA..... ni sawa na lila na fila (hazitangamani)
[emoji16][emoji16] Dada nimemiss mipasho ya wanajamvi mwenzio