Kuelekea Maadhimisho Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari: Matukio katika picha ya washiriki mbalimbali wa mbio (Fun Run)

Kuelekea Maadhimisho Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari: Matukio katika picha ya washiriki mbalimbali wa mbio (Fun Run)

JamiiForums

JF Official Account
Joined
Nov 9, 2006
Posts
6,249
Reaction score
5,747
Picha zikionesha matukio tofauti ya Washiriki mbalimbali wa mbio (Fun Run) za Kilometa Tano zilizofanyika leo Aprili 27, 2025 ikiwa ni kuelekea Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari ambayo yanafanyika kwa siku tatu Jijini Arusha

Mbio hizo zilizoshirikisha Wadau mbalimbali wanaoshiriki maadhimisho hayo zilianzia Uwanja wa Gymkhana/Mgambo na kuhitimishwa katika eneo hilo hilo.

IMG_1892.JPG

fun5.jpg

fun4.jpg
fun1.jpg
fun2.jpg
fun6.jpg
fun3.jpg
fun.jpg
fun8.jpg
 
Nz
Picha zikionesha matukio tofauti ya Washiriki mbalimbali wa mbio (Fun Run) za Kilometa Tano zilizofanyika leo Aprili 27, 2025 ikiwa ni kuelekea Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari ambayo yanafanyika kwa siku tatu Jijini Arusha

Mbio hizo zilizoshirikisha Wadau mbalimbali wanaoshiriki maadhimisho hayo zilianzia Uwanja wa Gymkhana/Mgambo na kuhitimishwa katika eneo hilo hilo.

uri ,ila hao watoto mmngewawekea t-shirt za size zao, ingependeza zaidi!
 
IMG_7528.jpeg

Mbio za kilomita 5 za maadhimisho ya siku ya vyombo habari Duniani zafanyika leo jijini Arusha, katika viwanja vya Ghymkana/ Mgambo.


Mbio hizo zilianzia kwenye uwanja wa Ghymkana /Mgambo na kumalizikia hapo hapo Ghymkhana; ambapo zilihudhuriwa na wanahabari mbalimbali , wadau wa habari na wafanyakazi wa mashirika ya kimataifa.

Maadhimisho ya Vyombo vya habari duniani yanafanyika jijini Arusha kuanzia tarehe 27 hadi 30 Aprili 2025, ambapo siku ya kwanza yameanza na mbio za kilomita 5 na kesho kutafanyika mikutano mbalimbali katika hoteli ya Gran Melia.

Maadhimisho hayo yanaratibiwa na JamiiAfrica au zamani Jamii Forums, Serikali , shirika la Kimataifa la Elimu , Sayansi na Utamaduni la Umoja wa Mataifa (UNESCO) na wadau wengine wa Habari nchini na Kimataifa.
 
Back
Top Bottom