Pre GE2025 Kuelekea maandamano X (Twitter) iko chini asubuhi hii

Pre GE2025 Kuelekea maandamano X (Twitter) iko chini asubuhi hii

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Sijui kwanini japo siipendi CCM lakini siku hizi sinaga interests na hizi siasa za vyama pinzani, kila kitu huwa naona hawapo serious , hata haya maandamano

Wapigaji tu hamna lolote, ukikutana na mwanasiasa na nyoka, chukua jiwe kubwa mpige nalo mwanasiasa tena kisogoni, yote majizi tu.
 
Back
Top Bottom