Pre GE2025 Kuelekea maandamano X (Twitter) iko chini asubuhi hii

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Risasi ilitokea Kule Kule alikokuwepo kabla hajaanza kukimbia 🐼
Risasi ilitoka kwenye mtutu wa polisi. Ina maana moja kubwa kwamba, mlipanga kumuua Mbowe kwa cross range ikamkosa ikaenda kumuua binti kwenye basi
 
Tumekusikia, haya nenda kafanye mazoezi ya kutembea
 
Msilete taharuki, hakuna kitakachotokea, mtaacha shughuli zenu za kuwaingizia kipato na kwenda kufanya hayo mazoezi ya kutembea na mtarudi majumbani mwenu mkiwa mmechoka.. siku itaisha bila kuingiza hata sumni mfukoni...
Relax kijana
Your browser is not able to display this video.
 
Msilete taharuki, hakuna kitakachotokea, mtaacha shughuli zenu za kuwaingizia kipato na kwenda kufanya hayo mazoezi ya kutembea na mtarudi majumbani mwenu mkiwa mmechoka.. siku itaisha bila kuingiza hata sumni mfukoni...
Mbona siku zote hamna tunachoingiza?
 
Twitter is down - Twitter iko chini 😁😁😁

Siku nyingine tafsiri hivi: Twitter haifunguki badala ya Twitter iko chini πŸ–
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…