Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna kila dalili kwamba maandamano yatafanyika, lakini ni kwa ukubwa gani ni ngumu kutabiri. Kwa wiki nzima hii, kamata kamata imekuwa kubwa sana, hadi vibaka na wezi wameamua kuchukua likizo ya muda.
Tumeshuhudia pia maandalizi makubwa ya polisi wa kutuliza ghasia, polisi wa sare, na wanashughuli wa usalama wakiwa kwenye magari na kila aina ya kifaa na nyenzo za kupambana na yeyote yule.
Hata hivyo, kuna maandalizi mengine ambayo sijui kama yamefanyika.
1. Njia za Kidiplomasia.
2. Magari ya Wagonjwa
3. Vifaa Tiba vya Dharura
4. Wahudumu wa Afya wa Dharura
5. Hospitali za Dharura
6. Mahabusu
Kuwa maandamano ni haki ya kikatiba kwa sheria zetu na za kimataifa. Ni vyema na hayo maandalizi mengine yakapewa kipaumbele pia!
View: https://x.com/LuhagaMpina/status/1837763737027019154?t=jsxIa8hgQXbeOlTYGmfpcA&s=19

DuhMaandamano ni lini wakuu? Yanaanzia wapi hadi wapi? Saa ngapi tukutane?
Usalama ilipo Mzena hospitalNjee ya mada naomba kujua ni ofisi za nini zile zilizo opposite na makumbusho stand zme pakana na kijiji cha makumbusho naonaga jamaa wamevaa nguo kama vitenge