Kuelekea mashindano ya Taifa ya Draft

Kuelekea mashindano ya Taifa ya Draft

KWA WALE WA MBEYA KAMA KUNA FUNDI WA DRAFT UNAJIAMINI AU UNAMUAMINI ,AJITOKEZE ,HATUTAKI MALALAMIKO,, LETEN FUNDI MNAYEMUAMINI ,MSITULETEE MATURA


Washiriki watakoa shiriki kuwatafuta wawakilishi wa wa mkoa wa mbeya
- maeneo yatakayo toa washiriki
1. Ilomba
2. Mbalizi
3. Sokomatola
4. Kabwe & songwe

- ilomba
1. Kenny mabao
2. Hance
3. Kiduku
4. Ticha kibegi
5. Mwasapile
6. Raisi wa ilomba

- mbalizi
1. Gabby
2. Dany
3. ............
- Sokomatola
1. Pascal
2. Kelvin
3. Steve nkeka
4. Amasebo
5. Ticha ngao
6. Iddy

- kabwe & songwe
1. Farid
2. Wille mtafiti
3. Amigo
4. Mlangi
5. Fadhiri
6. Peter salu
Kama kuna mchezaji mzuri tumemuacha na anahitaji kukiwasha awasiliane na wahusika
Kuna jamaa anajiita mkulima, anacheza draft la playok mtandaoni, ni hatari sana huyo jamaa, nasikia alimfunga sisco, na Ronaldo, unamfahamu mkulima jina lake halisi nani? haswa? hamis77
 
Back
Top Bottom