JOSEPHAT J BAZA
Member
- May 4, 2013
- 27
- 22
Nani kakwambia zero
kibao matokeo we umeyaona wapi acha kuleta longolongo usitake
kuchanganya siasa na taaluma chadema wanahusina vipi na matokeo ya
kidato cha 6?
Tukishachanganya elimu na siasa ndio matatizo yanapokuja,chadema na ccm vyote ni vyama vya siasa na viongozi wao wote wanatafuta mishahara.Watanzania, siku chache kuelekea matokeo ya kidato cha sita siri nzito imefichuka. Ziro kibao zafurika, Serikali Y CCM kwa mara nyingine yaanza mchakato wa kuzichakachua kimyakimya. Je, serikali hii inatupeleka wapi? ama kweli elimu ya TZ imegeuka kuwa genge la wanasiasa. Hakika CHADEMA NDIYO SULUHISHO LA ELIMU TANZANIA 2015