Kuelekea matokeo ya form six, siri nzito yafichuka

Kuelekea matokeo ya form six, siri nzito yafichuka

Joined
May 4, 2013
Posts
27
Reaction score
22
Watanzania, siku chache kuelekea matokeo ya kidato cha sita siri nzito imefichuka. Ziro kibao zafurika, Serikali Y CCM kwa mara nyingine yaanza mchakato wa kuzichakachua kimyakimya.

Je, serikali hii inatupeleka wapi? ama kweli elimu ya TZ imegeuka kuwa genge la wanasiasa. Hakika CHADEMA NDIYO SULUHISHO LA ELIMU TANZANIA 2015
 
Nani kakwambia zero kibao matokeo we umeyaona wapi acha kuleta longolongo usitake kuchanganya siasa na taaluma chadema wanahusina vipi na matokeo ya kidato cha 6?
 
Kutoa mada bila upembuzi yakinifu wa unayoyaongea inamaanisha huna lengo mahsusi kwa hilo jambo bali unatumia nafasi hyo kuelezea ya moyoni mwako.

Sawa, maendeleo katika elimu yanachangiwa kwa kiasi kikubwa na uongozi lakini hapa si mahali pa vyama

Kapige kampeni kwenye jukwaa la siasa hapa kuna wadau wa elimu pekee, nyie ndio mnaoharibu elimu yetu
 
Chadema si ndio wanataka kusiwe na ziro maana ziro zikiwapo wanaandamana sasa serikali kama inataka kuwaridhisha ili msiandamane ngoja izifute, napo mnalalamika, sasa mnataka serikali ifanyeje ili msilalamike?
 
Nani kakwambia zero
kibao matokeo we umeyaona wapi acha kuleta longolongo usitake
kuchanganya siasa na taaluma chadema wanahusina vipi na matokeo ya
kidato cha 6?

hahahahahaaaa! huyo harudii tena kuleta siasa zake za mtaani, hizo tetesi cjui amezitoa wapi huenda kaambiwa na wauza vitumbua mtaani kwao! mkuu umempatia kweli!
 
usitumie hisia za kusadikika kuwashawishi watu. Swala la chadema libaki kuwa mtazamo wako. Taaluma iache ibaki yenyewe. Ni kweli elimu imepoteza dira lakin chadema haiwezi kufanya lolote kwa sasa.

Pendekeza njia za kuboresha elimu yetu kwa wakati wa sasa.
 
Watanzania, siku chache kuelekea matokeo ya kidato cha sita siri nzito imefichuka. Ziro kibao zafurika, Serikali Y CCM kwa mara nyingine yaanza mchakato wa kuzichakachua kimyakimya. Je, serikali hii inatupeleka wapi? ama kweli elimu ya TZ imegeuka kuwa genge la wanasiasa. Hakika CHADEMA NDIYO SULUHISHO LA ELIMU TANZANIA 2015
Tukishachanganya elimu na siasa ndio matatizo yanapokuja,chadema na ccm vyote ni vyama vya siasa na viongozi wao wote wanatafuta mishahara.

Kama kweli chadema wapo serious na elimu yetu ni bora wakaishauri serikali saiv mbinu za kutatua tatizo kuliko kusubiria 2015.
 
Jaman hv hz taarfa za matokeo ya kdato cha 6 ni kwel au ndo 2narushana roho manake naogopa kuona micba mingne ktokea kama ilvo kuwa kwa ndg ze2 kdato cha 4
 
Hv huyu mbuz ndo John Nchimbi afsa habar wa necta had anatuletea upuuz wako huku? Au na wewe mbuz wewe hv huna la kufanya? We hayo matokeo umeyatoa wapi?
 
Back
Top Bottom