Kuelekea mechi ya CAFCC | Simba SC dhidi ya ASEC Mimosas SC, mechi kubwa kwa timu kubwa

Kuelekea mechi ya CAFCC | Simba SC dhidi ya ASEC Mimosas SC, mechi kubwa kwa timu kubwa

Habari zimeenea Bagamoyo mitaani kuwa Simba walikuwa kwa witchdoctor mmoja wa Bagamoyo ambaye amejitahidi kuwasaidia ili kichapo kisiwepo lakini imeshindikana. Mganga huyo yupo Bagamoyo maeneo ya jirani na hospital ya wilaya.

Chanzo: wadau wa Bagamoyo.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Simba 3 kwa 1
 
Habari Tanzania na Kote Duniani..!

Kuelekea siku ya Jumapili February 13, 2022 hatua ya makundi Kombe la Shirikisho Barani Afrika CAFCC kupigwa kwenye dimba la Benjamin Mkapa (Mkapa Stadium), ambapo Mnyama Mkali Mwituni Simba SC anakamuana na ASEC Mimosas kutoka Ivory Coast.

Ni mchezo mkubwa kwa timu kubwa zitakapombana kutafuta matokeo chanya kwenye michuano hii ya pili kwa ukubwa baada ya CAFCL.

Neno kutoka kwa M/kiti wa Klabu ya Simba, Murtaza Mangungu amesema kuwa

"Hii ni hatua kubwa na vile vile ni utamaduni wa kawaida wa Klabu ya Simba, kuweza kushiriki katika mashindano haya, kama tunakumbuka tangu historia ya mpira wenyewe katika miaka ya 70, 80, na 90 Simba SC imekuwa ikifanya vizuri na kwa kipindi cha miaka minne mitano tumekuwa na mfululizo wa kushiriki mashindano ya Kimataifa na kufikia ngazi ya makundi na ngazi ya robo fainali, na tunaamini kwa Kikosi tulichokuwa nacho mipango ya bechi la ufundi na management tutahakikisha timu yetu inafanya vizuri na kufikia hatua ya juu zaidi".

Naaam Wanasimba na mdau wa Kabumbu, maandalizi yote yanaendelea hivyo nasi ni jukumu letu kujiandaa kuhakikisha tunajitokeza kwa wingi na kushangilia mwazo mwisho huku tukishuhudia kandanda safi liliothibitishwa na CAF kutoka kwa Mkali wa Soka Nchini, Simba SC.

Karibu kwa yakayojiri kabla ya mchezo wenyewe..Usikose Ukaadithiwa.

Kulitaka Mwana Kulipewa Mwana

============

Update;

Naibu Spika Mh. Mussa Azzan Zungu, atakuwa mgeni Rasmi kwenye mchezo huo wa Kombe la Shirikisho Barani Afrika.

=========

Kocha wa Simba SC Pablo Franco amesifu uwezo wa wapinzani wao ASEC Mimosas huku akisema timu hiyo ipo vizuri kwenye mipira ya kutengwa.

Naye Kocha wa ASEC Mimosas Julien Chevalier amekimwagia sifa uwezo wa Simba SC huku akitanabaisha kuwa timu hiyo inapenda mashindano makubwa.
The Association Sportive des Employés de Commerce Mimosas, literally Mimosas Commerce Employees' Sporting Association, is an Ivorian football club based in Abidjan. The club is also known as ASEC Mimosas Abidjan and ASEC Abidjan, especially in international club competitions. Founded in 1948, they are the most successful side in Ivorian football, having won the Ivorian Premier Division 24 times and the 1998 CAF Champions League. In addition, ASEC's Académie MimoSifcom has produced a number of famous players predominantly based in top foreign leagues, including Bonaventure Kalou, Didier Zokora, Emmanuel Eboué, Bakari Koné, Gervinho, Salomon Kalou, Romaric, Boubacar Barry, Didier Ya Konan, Kolo Touré, Yaya Touré and Odilon Kossounou, all of whom have played internationally.

ASEC Mimosas[https://upload]Full nameAssociation Sportive des Employés de Commerce MimosasNickname(s)Les Mimos (The Mimosas)
Les Jaunes et Noirs (The Yellow and Blacks)Founded1948; 74 years agoGroundStade Félix Houphouët-Boigny
AbidjanCapacity50,000ChairmanRoger OuégninManagerJulien ChevalierLeagueLigue 12019–20Ligue 1, 3rd of 14
 
Uchawi utawafikisha wapi nyie watu,,,mpira ni uwanjani kama mnajiamini timu yenu nzuri si msitumie izo paka na ayo majini,,,pamoja na kuroga kote bado jamaa wanaonekana ni wazuri sana pamoja na kuwafunga miguu kwa uchawi lakini wanaonyesha sio timu ya mchezo muendelee kushukuru uyo mganga wenu
Muhimu Simba SC imeshinda na nilichowahakikishia wana Simba SC wote hapa katika Uzi wangu ambao sijui kwanini Umeunganishwa na Nimeshangaa hadi Kusikitika kuwa Simba SC leo ingeshinda Goli 1 kwa 0 au Goli 2 kwa 0 au Goli 3 kwa 1 na kwamba kuna Mchezaji ataumia yametimia ( yametokea vile vile ) hivyo hizi Kelele zako zingine naona ni Pumba tupu tu.

Nani Kakuambia au Kakudanganya kuwa Yanga SC yako hairogi? Kile Kidole cha Mtoto kilichokatwa na Makomandoo wa Yanga SC wakati ikijiandaa Kucheza na Coastal Union FC ya Tanga hivi karibuni na mpaka Cloud Tv na Clouds FM kupitia Mtangazaji wao mwana Yanga SC Mwenzenu Privaldinho waliripoti na mkashinda ile Mechi kwa Kuvunja mwiko wa Kutokushinda Mkwakwani Stadium.

Je, Kwako Wewe huo siyo Unyangindo ( Uchawi ) ambao wakiufanya Simba SC unauchukia ila mkiufanya nyie Yanga SC unaukubali? Mnafiki na Mpuuzi mkubwa Wewe.

au unataka nije na Uzi Maalum wa kuihusu Yanga SC yako, Uchawi muufanyao, Waganga mnaowatumia na Mchezaji wenu Mmoja mnayemtegemea katika Kubeba Hirizi ya Ushindi wenu ndipo Ushangae na ujue nimejuaje?

Nina PhD ya Kuujua Mpira wa Tanzania, Umafia wake wote na kuna Umafia mwingi tu nimeshashiriki pamoja na huu wa leo halafu usisahau 70% ya Wachezaji wa Klabu za Ligi Kuu ( hasa wa Yanga, Simba, Azam, KMC, Ruvu Shooting na Coastal Union FC ) ni Wanangu ( Marafiki zangu ) hivyo nayajua mengi na huniambia mengi pia.

Mimi ndiyo Mightier ( alias ) Gifted Intellectually, Knowledgeable, Challenger and Well Informed Person sawa?
 
Ngajapo,

Simba haijawahi kuifunga Asec Mimosas. Na kama unavyosema ni kweli kwamba eti Simba ilishinda hapa 1-0 na ikapoteza marudiano Abidjan 4-3 Simba si wangekua wamesonga mbele kwa faida ya goli la ugenini?

Maana ingekua wamepata magoli matatu ugenini!!!!
Basi leo tutawanyuka bila kupepesa macho!
 
Back
Top Bottom