CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 11,635
- 21,347
Unaumia sana,hivi kwani maneno mengi gani amesema mgosi mwenzako hadi unakereka hivyo? Chuki kwa Simba itakutoa roho.Aache maneno mengi! Mpira unachezwa uwanjani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaumia sana,hivi kwani maneno mengi gani amesema mgosi mwenzako hadi unakereka hivyo? Chuki kwa Simba itakutoa roho.Aache maneno mengi! Mpira unachezwa uwanjani.
Si kwa Simba hiiHAo bullet wanachapika huko huko kwao mapemaaa....,
Huyu jamaa alivyo kama professor @isee!Kocha Mkuu wa Simba SC Juma Mgunda, amezungumza na waandishi wa vyombo vya habari nchini Malawi kuelekea mchezo wa kesho wa Ligi ya Mabingwa Afrika CAFCL, dhidi ya Nyasa Big Bullets ya nchini Malawi, huku akitanabaisha kuwa wanaanza kupambana kuanzia kesho kwasababu wanajua klabu ya Simba hitajio lao na nchi ya Tanzania kwa ujumla.
"Tunaanza kesho kupambana, tunajua nchi inataka nini na Simba inataka nini, kubwa kwetu ni kutimiza wajibu wetu."
"Nimewaona wapinzani wetu, nimeangalia baadhi ya video zao, ni timu ambayo sio ya kubeza, wanacheza kitimu na wanacheza nyumbani, tahadhari zote tutachukua".
"Ukishakubali kuvaa gwanda wewe ni mwanajeshi, naamini Vijana baada ya kuzungumza nao wanaelewa majukumu yao, naamini kesho watajitoa kwa ajili ya Simba SC". Kocha Mkuu Juma MgundaView attachment 2351403