Kuelekea mechi ya Kombe la Shirikisho Afrika, Yanga SC dhidi ya Pyramids FC, kocha aishtukia mbinu ya Yanga

Yondani kapigwa umeme mwekundu
 
Yanga wangecheza Dar wangeweza Kushinda na pia wangepata pesa nyingi za Mwisho wa Mwezi.
 
Waswahili wanasema ‘Mimba inatungwa popote hata vichakani’..!

Sijaona umuhimu wa kuihamisha mechi Taifa mpaka Mwanza.

Ili ucheze vyema kwenye viwanja ‘vibovu’ kama Kirumba ni muhimu kutumia mipira ya juu (Long balls) sasa kwa hawa maswahiba zangu Yanga, wachezaji wao wafupi na Pyramids wana wachezaji wenye vimo virefu, sijaona namna ambavyo Yanga angeweza kushinda.
 
Kwa Mkapa uwanja mzuri sana lakini UD Songo hawakufungwa. Mpira popote
 
Afadhali Yanga wamepata goli la ugenini huko Mwanza..![emoji23][emoji23]
 
Eti mabingwa wa kihistoria hamuoni hata ganzi kujiita hivyo..[emoji23][emoji23]Hivi kuna kombe linaitwa historia dunia hii?
Ganzi ya nini kwenye facts?
Ni mabingwa wa nchi wa kihistoria 27 times!
Kila nchi ina bingwa wake wa kihistoria. Al Ahly ni bingwa wa kihistoria wa CAF!
 
Ila mechi uliionaje?! Huoni kulikuwa na utofauti mkubwa na hiki kilichofanyika leo?!
Mwisho wa siku sio umiliki ni asilimia ngapi, kona ngapi, kanzu ngapi nk.
Ni goal aggregate na kusonga mbele
 
Kiukweli tumekaa kimya muda mrefu na kusubiria sana pasipo ongea ukweli. Ukweli ni kwamba Mwinyi Zahera hawezi kufundisha mpira wa miguu. Baada ya mechi ya Leo Zahera anapaswa kufukuzwa.
 
Na dawa wanapuliza vyumba vya timu pinzani.
Mo ni mafia sana.
Waambie GSM wapulize hizo dawa kama ni rahisi kihivyo..Nyie shukuruni imepelekwa timu Mwanza na imepata goli ya ugenini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…