Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo umeamka au ulikuwa wapi muda woteSimba wanaanzaje kukosa usingizi kwa Yanga hii? Hapa tupo kuifuatilia Pyramids, sio Yanga
Mechi ijayo anasugua benchi tayari uchochoro paleYondani kapigwa umeme mwekundu
Kwa Mkapa uwanja mzuri sana lakini UD Songo hawakufungwa. Mpira popoteWaswahili wanasema ‘Mimba inatungwa popote hata vichakani’..!
Sijaona umuhimu wa kuihamisha mechi Taifa mpaka Mwanza.
Ili ucheze vyema kwenye viwanja ‘vibovu’ kama Kirumba ni muhimu kutumia mipira ya juu (Long balls) sasa kwa hawa maswahiba zangu Yanga, wachezaji wao wafupi na Pyramids wana wachezaji wenye vimo virefu, sijaona namna ambavyo Yanga angeweza kushinda.
Yanga haina njaa, wananchi tupo wa kutosha....Yanga wangecheza Dar wangeweza Kushinda na pia wangepata pesa nyingi za Mwisho wa Mwezi.
Ganzi ya nini kwenye facts?Eti mabingwa wa kihistoria hamuoni hata ganzi kujiita hivyo..[emoji23][emoji23]Hivi kuna kombe linaitwa historia dunia hii?
Ila mechi uliionaje?! Huoni kulikuwa na utofauti mkubwa na hiki kilichofanyika leo?!Kwa Mkapa uwanja mzuri sana lakini UD Songo hawakufungwa. Mpira popote
Mwisho wa siku sio umiliki ni asilimia ngapi, kona ngapi, kanzu ngapi nk.Ila mechi uliionaje?! Huoni kulikuwa na utofauti mkubwa na hiki kilichofanyika leo?!
$30,000 za MO zilifanya kazi kwa marefaa waulize watu wa karibuNi fedheha kufungwa nyumbani..Simba utumwa huu haupo tena..!
Kashtaki Fifa sio hapa JF hatuna la kukusaidia hahahaha.....$30,000 za MO zilifanya kazi kwa marefaa waulize watu wa karibu
Kuna timu inatisheka Pesa ?Yanga haina njaa, wananchi tupo wa kutosha....
Nilikuwa Nauliza.Yanga haina njaa, wananchi tupo wa kutosha....
Na dawa wanapuliza vyumba vya timu pinzani.$30,000 za MO zilifanya kazi kwa marefaa waulize watu wa karibu