Kuelekea Mechi ya Simba SC dhidi ya AS Vita Club, hatua ya Makundi Ligi ya Mabingwa Afrika 'Hatoki Mtu'

Kila lakheri As Vita. Njoeni mumchukue mke wenu mkaishi nae salama uko Congo
 
Ila nilichowakubali mnawaogopa sana FC Mashujaa Musica kiasi kwamba hamtaki kuwasikia na hata kuliona jina mashujaa.
Habari za Mama zinahusu nini hapa..!

Jibu hoja Mashujaa na ligi ya mabingwa wapi na wapi..Kama huwezi mjadala na kutaniana kaa kimyaa Maluuni Waheed
 
Vumbi la kongo litahusika sjui kagere atatetemea wapi

Sent from my TECNO K7 using Tapatalk
 
Mikia kwa kujipa moyo.......
 
Hivi toka tumeanza michuano hii ya ligi ya mabingwa afrika 2018/2019, hivi huoni kinachofanyika? Huko kujipa moyo ni kupi?

Nyie endelea kufuga [emoji196][emoji196][emoji196] pale bwawani..SimbaNguvuMoja

Mmefanya nini wakati nyie ndo wa mwisho kwenye kundi? Mmekula +255 labda ndo jambo linaloshangaza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…