Kuelekea Mechi ya Simba SC dhidi ya AS Vita Club, hatua ya Makundi Ligi ya Mabingwa Afrika 'Hatoki Mtu'

AS Vita Club haitoki salama, itapigwa vibaya kutokana na uwezo wa Simba SC kutumia vema Uwanja wa Taifa, MKAPA STADIUM, kwa kuwachinja wapinzani wao hatua ya makundi kila aliyetia mguu Kimataifa.

Vilevile kumbuka na fahamu kwamba kwenye kundi D hakuna timu ambayo imeshinda ugenini, wala kupoteza mchezo (kufungwa) nyumbani, kila timu imeshinda nyumbani kwake.

This Is 5imba SC...5imbaNguvuMoja.
Vilevile kumbuka na fahamu kwamba kwenye kundi D hakuna timu nyingine ambayo IMEKUNG'UTWA (5x2)+2.

Unajua Mbumbumbu FC mna shida kubwa sana ya ufahamu vichwani na ndio maana Manara anaweza kuwagonga FIX ameandika barua FIFA nanyi mkakubali. Wewe Ghazwat , kama kila timu imeshida nyumbani kwake, mbona kuna timu 2 zina points 7?

Mnajijaza mapovu kichwani baadae mnaanza kulia hovyo, au unafikiri Bana Congo nao ukiwaweka juani wanachemsha engine kama Waarabu?
 
Mwana Mtoka Pabaya Kuhusu alama 7 ni kutokana kupata sare kwahivyo nimezungumzia kuhusu ushindi tu..!

Yote kwa yote hii gemu tunashinda, waarabu tuliwaanika juani na Nkana FC nao..!
Vilevile kumbuka na fahamu kwamba kwenye kundi D hakuna timu nyingine ambayo IMEKUNG'UTWA (5x2)+2.

Unajua Mbumbumbu FC mna shida kubwa sana ya ufahamu vichwani na ndio maana Manara anaweza kuwagonga FIX ameandika barua FIFA nanyi mkakubali. Wewe Ghazwat , kama kila timu imeshida nyumbani kwake, mbona kuna timu 2 zina points 7?

Mnajijaza mapovu kichwani baadae mnaanza kulia hovyo, au unafikiri Bana Congo nao ukiwaweka juani wanachemsha engine kama Waarabu?
 
Tumerudi salama. Tuna morali na tutapambana vya kutosha na tutafuzu hatua inayofuata....................John Bocco.
FB_IMG_1552471427638.jpeg
 
Vilevile kumbuka na fahamu kwamba kwenye kundi D hakuna timu nyingine ambayo IMEKUNG'UTWA (5x2)+2.

Unajua Mbumbumbu FC mna shida kubwa sana ya ufahamu vichwani na ndio maana Manara anaweza kuwagonga FIX ameandika barua FIFA nanyi mkakubali. Wewe Ghazwat , kama kila timu imeshida nyumbani kwake, mbona kuna timu 2 zina points 7?

Mnajijaza mapovu kichwani baadae mnaanza kulia hovyo, au unafikiri Bana Congo nao ukiwaweka juani wanachemsha engine kama Waarabu?
Hivi kwenye hilo kundi D yanga nao wapo?

Sent using unknown device
 
Vilevile kumbuka na fahamu kwamba kwenye kundi D hakuna timu nyingine ambayo IMEKUNG'UTWA (5x2)+2.

Unajua Mbumbumbu FC mna shida kubwa sana ya ufahamu vichwani na ndio maana Manara anaweza kuwagonga FIX ameandika barua FIFA nanyi mkakubali. Wewe Ghazwat , kama kila timu imeshida nyumbani kwake, mbona kuna timu 2 zina points 7?

Mnajijaza mapovu kichwani baadae mnaanza kulia hovyo, au unafikiri Bana Congo nao ukiwaweka juani wanachemsha engine kama Waarabu?
Akili zote wamemuachia manara vuvuzera lao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari za Mama zinahusu nini hapa..!

Jibu hoja Mashujaa na ligi ya mabingwa wapi na wapi..Kama huwezi mjadala na kutaniana kaa kimyaa Maluuni Waheed
Kudaiwa Yanga na ligi ya mabingwa kuna husiana nini? Jibu kwanza wewe uliyehusisha kudaiwa yanga na mjadala ya ligi ya mabingwa kuna husiana nini? mbumbumbu waahead weee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ni hivyo ungetaja Simba ama kunitaja mimi nasiyo mzazi..Lakini nimegundua huna hulijualo...Umevamia kambi

Back
Top Bottom