Kuelekea Mechi ya Simba SC dhidi ya AS Vita Club, hatua ya Makundi Ligi ya Mabingwa Afrika 'Hatoki Mtu'

Kuelekea Mechi ya Simba SC dhidi ya AS Vita Club, hatua ya Makundi Ligi ya Mabingwa Afrika 'Hatoki Mtu'

Hata kwenye mechi ya mwezi uliopita tarehe 16 tuliandika heading ya kibabe lakini baada ya mechi kuisha sikuiona komenti kama hii kutoka kwa mashabiki wa vyura

Sent using unknown device
Mkuu oscarsolomon umefanya vema kumkumbusha, mechi ya JS, Nkana, Al Ahly zilizopigwa uwanja wa Taifa walikimbia jukwaa..This Is Simba.
 
Hivi kuna aliyeta Kombe la Maandazi kwenye Uzi huu hapa?

Yaani Klabu Bingwa Afrika tunajadili ambapo kutinga tu makundi timu inapata bilioni 1 na Simba ndo wawakilishi pekee Afrika Mashariki halafu unatuletea michuano ya Ukanda mmoja hiyo akili ama..!
Imani nyingine hizi ni kumjaribu Mungu na matumizi mabovu ya akili.

Kama Simba huwa haifungwi uwanja wa Taifa basi wangekuwa ndio mabingwa wa Sport pesa mwaka huu, msidhani Watanzania ni wajinga au wamesahau.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom