Kuelekea Mechi ya Simba SC dhidi ya AS Vita Club, hatua ya Makundi Ligi ya Mabingwa Afrika 'Hatoki Mtu'

Nasikia wakongo wanataka kuondoka na Vyura kwenda Kongo[emoji3][emoji23]

Mmetepeta kama mate ya mlevi
Kila lakheri As Vita. Njoeni mumchukue mke wenu mkaishi nae salama uko Congo
 
Akafukuze Vyura huko...[emoji23][emoji23][emoji23] Kujipendekeza tu.
Tuisila Kisinda huyu dogo anafukuza upepo balaa...Mikia huyu ndio wa kumchunga sana
Wametomboka nangai[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Vitaaaaa.........................waaar.................fanya mamboooooooooooooooo
Haya kaokote mzoga wenu kwenye korido la Uwanja wa Taifa.

Mnahangaika kushangilia timu za watu zakwenu zikidoda[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Vumbi la kongo litahusika sjui kagere atatetemea wapi

Sent from my TECNO K7 using Tapatalk
Vumbi nasikia limewageukia Ndala FC wamepulizwa Iringa na Dark


Kiherehere Fc[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

Bana Congo tuliamua kuwawakea baridi kwahivyo walipoa na wakatepeta kama mate ya mlevi..Kila mmoja tuna Style yake ya kumtomasa..[emoji23][emoji23][emoji23]

Vyura mmetulia leo kama mko kwenye foleni ya kupima Tezi Dume...!

Hivi wameondoka BanaCongo ama bado... This Is Simba SC Bro.
 
Unaroho ngumu..Chura [emoji196]umezamishwa kwenye Dimbwi Iringa na Dar lakini bado unanyosha mkono..!
Mikia FC.
Kosa lako ni Kiherehere[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Imani nyingine hizi ni kumjaribu Mungu na matumizi mabovu ya akili.

Kama Simba huwa haifungwi uwanja wa Taifa basi wangekuwa ndio mabingwa wa Sport pesa mwaka huu, msidhani Watanzania ni wajinga au wamesahau.

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Huyo member kila nikimqoute arudi kwenye Uzi, harudi..Yaonyesha amezimia kuamka labda kesho[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hataki kuwasikia BanaKongo wa BanaSimba...![emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Huyo member kila nikimqoute arudi kwenye Uzi, harudi..Yaonyesha amezimia kuamka labda kesho[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hataki kuwasikia BanaKongo wa BanaSimba...![emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Anaishia kusoma na kumute tu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…