Nimkimbilie nani
JF-Expert Member
- Nov 23, 2016
- 5,996
- 6,290
Walikuja wenyeweNendeni mkabebe vizoga yenu. Imelala kwenye Korido [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walikuja wenyeweNendeni mkabebe vizoga yenu. Imelala kwenye Korido [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haya kaokote mzoga wenu kwenye korido la Uwanja wa Taifa.Vitaaaaa.........................waaar.................fanya mamboooooooooooooooo
Mikia FC.Kocha wa Vyura; mimi sipo Dar nipo naenda Bakongo...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Vilevile kumbuka na fahamu kwamba kwenye kundi D hakuna timu nyingine ambayo IMEKUNG'UTWA (5x2)+2.
Unajua Mbumbumbu FC mna shida kubwa sana ya ufahamu vichwani na ndio maana Manara anaweza kuwagonga FIX ameandika barua FIFA nanyi mkakubali. Wewe Ghazwat , kama kila timu imeshida nyumbani kwake, mbona kuna timu 2 zina points 7?
Mnajijaza mapovu kichwani baadae mnaanza kulia hovyo, au unafikiri Bana Congo nao ukiwaweka juani wanachemsha engine kama Waarabu?
Daaahh huu mkeka umechanika kidogo sana
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]mechi na soura mliandika heading shoo ya kibabe... ghafla mkaingia mitini.. na huu uzi msije ukimbia tu
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Imani nyingine hizi ni kumjaribu Mungu na matumizi mabovu ya akili.
Kama Simba huwa haifungwi uwanja wa Taifa basi wangekuwa ndio mabingwa wa Sport pesa mwaka huu, msidhani Watanzania ni wajinga au wamesahau.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hataki kuwasikia BanaKongo wa BanaSimba...![emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Anaishia kusoma na kumute tu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Huyo member kila nikimqoute arudi kwenye Uzi, harudi..Yaonyesha amezimia kuamka labda kesho[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hataki kuwasikia BanaKongo wa BanaSimba...![emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]