Ghazwat
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 23,718
- 66,267
Kuelekea mchezo wa Ligi Kuu Tanzania kati ya Azam FC watakaopapatuana na Yanga SC siku ya Jumatatu ya 29, Aprili 2019 kunako Uwanja wa Uhuru.
Hii mechi inatarajiwa kuwa ya Vuta Nikuvute kwa dakika zote tisini za mchezo, mechi ambayo bila shaka ni vita vya kugombea nafasi ya pili kwenye msimamo wa ligi kuu Tanzania kuelekea kumalizika.
Simba SC, kama inavyofahamika kuwa ni bingwa mtetezi ana nafasi kubwa kutwaa ubingwa kuliko Azam FC na Yanga.
Azam FC na Yanga SC, zimetoka kupoteza michezo yao ya mwisho kwenye Ligi Kuu, ambapo Azam FC wakipoteza kwa kufungwa na Ndanda FC Wana Kuchele 1-0 huku Yanga SC wakipoteza kwa kuchapwa bakora 1- 0 na Mtibwa Sugar.
•••••Endelea kufuatilia uzi huu ili kufahamu zaidi kuelekea mchezo huo...!
••••••=====•••••
Ni mechi ya 34 katika michuano yote waliokutana na katika michezo 33 walizokutana Azam FC wameshinda mara 12 huku Yanga wakishinda mara 13 na kutoka sare mara 8 Azam FC ikifunga mabao 46 huku Yanga ikifunga mabao 43.