Kuelekea mechi ya 'TPL' Azam FC dhidi ya Yanga SC, Mchezo wa Vuta Nikuvute Kugombea Nafasi ya Pili.!

Leo Yanga wasiingie ktk vyumba hahahajajaj kuna body spray hahahah

Waluke tu UKUTA hahahahha
 
Kama matokeo ya Biashara Utd yangekuwa rafiki kwake..yamkini angejitokeza

Lakini kwa kuwa Mnyama ni mfalme wa Pori basi imemuumiza kiasi[emoji23][emoji23]
Nimemmiss sana ndg yangu najua kesho alfajiri ataingia kuchungulia kidogo Shadeeya
 
Leo Yanga wasiingie ktk vyumba hahahajajaj kuna body spray hahahah

Waluke tu UKUTA hahahahha
Kuna faini wamelimwa juzi na hiyo mechi wakikubali kudanganywa na Zahera wajue kuna shilingi 3,000,000 watalipa..!
 
Kama matokeo ya Biashara Utd yangekuwa rafiki kwake..yamkini angejitokeza

Lakini kwa kuwa Mnyama ni mfalme wa Pori basi imemuumiza kiasi[emoji23][emoji23]
Hahhahaa atakuja bwana atakuwa amebanwa tu
 
Naona kabisa Yanga wanaenda kupigwa faini nyingine jamani maana lazima waruke ukuta [emoji23] [emoji23]
 
Wanatembeza bakuli...mwisho zinaenda TFF

Zahera kawashika ile mbaya[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Azam apige mtu iyo kesho... Ili tuseme Ajibu alikwenda ofisini kwa Bakresa kupitia mlango wa nyuma.
NYUMA MWIKO.
 
Azam kamwe msimpange Abubakar Salum, a.k.a, Sureboy kwenye mechi yenu dhidi ya Yanga fc.
Huyo mchezaji ni kama All Ally wa KMC, au Mrisho Ngasa.
Ni Yanga lialia na lazima acheze chini ya kiwango akicheza dhidi ya Yanga fc.
 
Wacha we!,hahaaaa
 
yanga bingwa yanga bingwa anaebisha aje kwa hoja mikia hamna kombe mwaka huu...yanga hii na wachezaji hawahawa tunakwenda kuchukua ubingwa huu huu wa TPL kama mzaha vile tukiwa tumewaacha mikia wamesimamisha mikia wamenuna nuu
 
Endelea kuota ndoto za mazombie tu
 
Back
Top Bottom