Kuelekea mechi ya 'TPL' Azam FC dhidi ya Yanga SC, Mchezo wa Vuta Nikuvute Kugombea Nafasi ya Pili.!

Kuelekea mechi ya 'TPL' Azam FC dhidi ya Yanga SC, Mchezo wa Vuta Nikuvute Kugombea Nafasi ya Pili.!

Hivi Mfano Simba tungesonga nusu fainali CAF CL ligi ingemalizika ndani ya muda kweli?.. Tungekuwa na viporo hadi vimoro kabisa.
TFF + BODI YA LIGI wabovu kichwani.
TFF wanasema hawakujua kama Simba watafika hatua hii. Tumewaambia basi mwakani tunarudi na ndoo,wajue la kufanya
 
Kila la kheri timu ya wananchi! Iwe jua au mvua ushindi lazima! Chapa huyo ndugu yake mikia!
 
Timu mbili zimefanikisha hilo.
Simba = 15 pts.
Young Africans = 3 pints.
Kwa hiyo tukiingia Champions league ni halali yetu, ni matokeo yaliyochangiwa na timu yetu pia.
Kilichokuwa kinawapigisha kelele ni nini sasa.. Au hesabu ndio hamjui.
 
Timu mbili zimefanikisha hilo.
Simba = 15 pts.
Young Africans = 3 pints.
Kwa hiyo tukiingia Champions league ni halali yetu, ni matokeo yaliyochangiwa na timu yetu pia.
Miaka 4 mlileta points 3 Simba mwaka mmoja Points 15.Mpo hopeless sana
 
kikosi cha kwanza

1. Klaus Kindoki
2. Paul Godfrey
3. Andrew Vincent
4.Gadiel Michael
5.Abdallah Shaibu
6.Feisal Salimu
7. Mrisho Ngasa
8. Mohamed Banka
9.Heritier Makambo
10.Ibrahim Ajibu
11.Raphael Daud

Kikosi cha akiba

1. Ramadhan Kabwili
2. Juma Abdul
3. Said Makapu
4. Jaffary Mohamed
5. Pappy Tshishimbi
6. Amiss Tambwe
 
Mmetumia rushwa na figisu mapafyum ya maiti anayouza Manara
Ha ha ha ulidhani hali haitabadilika kwa miaka yenu ya Malinzi eeeh..!

Na bado mtapigwa mpaka mtachakaa
 
Back
Top Bottom