Kuelekea mechi ya 'TPL' Azam FC dhidi ya Yanga SC, Mchezo wa Vuta Nikuvute Kugombea Nafasi ya Pili.!

Endelea kuota ndoto za mazombie tu
kweli mbumbumbu fc mashabiki wake mambumbumbu na mazwazwa kabisa yani hiyo ndio hoja ulokuja nayo kupinga ubingwa wa yanga tukutane mwisho wa msimu.....kila la kheri yanga hakika wanaweza licha ya hali ngumu lakini wanatishaaaaa ile mbayaaaa je wakipata pesaa si ndiyo watazidi wazuzua na kuwawewesa mikia fc yani ni kama vita vile yanga wanasilaha za virungu mkononi alaf simba wana smg lakini bado simba wanahema nje nje ndimi zote zaelea nje kama tai
 
Azam apige mtu iyo kesho... Ili tuseme Ajibu alikwenda ofisini kwa Bakresa kupitia mlango wa nyuma.
NYUMA MWIKO.
[emoji23] [emoji23] wazee wa kuconect dots yaani Simba akishinda wanasema ananunua mechi wao wamefungwa na Simba na wameruka mlango hawakusema wamelipwa bei gani ila Tafadhali tu kesho wasiruke ukuta
 
yanga bingwa yanga bingwa anaebisha aje kwa hoja mikia hamna kombe mwaka huu...yanga hii na wachezaji hawahawa tunakwenda kuchukua ubingwa huu huu wa TPL kama mzaha vile tukiwa tumewaacha mikia wamesimamisha mikia wamenuna nuu
Wachezaji wapi?? Hawa ambao mwl wao anawaanika hadharani anawasaidia maisha, wachezaji hawa hawa ambao kufanya kazi yao ambayo ndo ajira hadi waje wahamasishwe, labda mshinde kombe la chai
 
kweli mbumbumbu fc mashabiki wake mambumbumbu na mazwazwa kabisa yani hiyo ndio hoja ulokuja nayo kupinga ubingwa wa yanga tukutane mwisho wa msimu.....kila la kheri yanga hakika wanaweza licha ya hali ngumu lakini wanatishaaaaa ile mbayaaaa je wakipata pesaa si ndiyo watazidi wazuzua na kuwawewesa mikia fc yani ni kama vita vile yanga wanasilaha za virungu mkononi alaf simba wana smg lakini bado simba wanahema nje nje ndimi zote zaelea nje kama tai
Utakuwa nje ya nchi wewe... kwamba Simba inaweweseka!??
Kweli mmepanik watani.. Mola awaepushe na bakuli tu
 
yanga bingwa yanga bingwa anaebisha aje kwa hoja mikia hamna kombe mwaka huu...yanga hii na wachezaji hawahawa tunakwenda kuchukua ubingwa huu huu wa TPL kama mzaha vile tukiwa tumewaacha mikia wamesimamisha mikia wamenuna nuu
Bado point 5 tukae juu.. na tuna mechi 5 mkononi.
Wewe utakuwa mgombea wa uchaguzi Yanga... kampeni yako inadanganya wapiga kura wale chura churani.
 
ni kwamba hizo mechi 5 unazosema bado ujacheza inamaana hujui hatima yake lakini yanga kashacheza na anajua hatima yake nadhani huujui mpira vizuri wewe kujihakikishia ushindi bado kabisaa mna mechi 7 tena unasemaje unashinda kiwepesi hivyo na ukiangalia yanga kafungwa 4 na anasare 5 na kabakiwa na michezo 7 lakini simba kafungwa 2 na ana sare 3 kabakiwa na michezo 12 je wapaonaje hapo ni kwamba si simba wala yanga anahakika wakuchukua ubingwa kwa 100%
 
Mkuu Yanga amebakiza mechi 6 sio 7.. amecheza game 32 ana point 74.
Simba ana point 69, Amecheza mechi 27, ana game 11 Mkononi.
Game 5 za Kiporo Tukishinda mechi 2 tunakuwa na point 75, Yanga 74.
Kwa ufupi kati ya mechi zetu 11 ZILIZOBAKI Tunatakiwa kushinda mechi 8 tu... Sawa na point 24
8X3=24
24+69=93
YANGA Akishinda zote 6 alizobakiza ambazo ni sawa na point 18.
6X3=18
18+74=92.. Kadri mnavyopoteza ndio mnatupunguzia kazi sisi MSIMBAZI.
Ngoja tuanze na Azam kesho atulegezee kazi
 
Huyo lazima akukimbie kwa darasa huru ulilompa..! Eti anasema hakuna mwenye uhakika na ubingwa, anadhani Simba ni kama Mbute Mbute [emoji23][emoji23][emoji23]
 
sawa mimi nasubiri kuona nini kinakwenda kutokea
 
Wanaibeza timu iliyofika robo fainal CAF CL...
.. Shomari Kapombe ameanza kupasha nafikiri atamalizia game za ukingoni tayari kwa kwenda AFCON kule MISRI.
 
sawa mimi nasubiri kuona nini kinakwenda kutokea
Ili muendelee kuota ndoto ya ubingwa inabidi mshinde game zote 2 dhidi ya Azam na ile ya Musoma kwa Biashara.
Japo 1 au 2 Najua mtapoteza.
 
Haji Manara viporo vinne povu la omo lilimtoka.. Sasa viporo 12 kakaa kimya.. Mimi nadhani Watanzania abnormal vitu vya msingi hatuwezi kusimamia. .Timu hazijacheza raundi ya kwanza unaanzisha mzunguko wa pili. . huyu Msomali atakuwa genius kasoma special school .. Hili lazima FIFA na CAF waambiwe watauwa mpira Hawa wakuja
 
Back
Top Bottom