Kuelekea mechi ya 'TPL' Simba SC dhidi ya Mbao FC, Moto wa Mnyama Kuendelea Kuwaka

Manunuzi FC aka viporo 10 dah TFF nyie kiboko. Yaani mtu anaandaliwa mazingira mpaka inaudhi.
 
Manunuzi FC aka viporo 10 dah TFF nyie kiboko. Yaani mtu anaandaliwa mazigira mpaka inaudhi.
Jiandaeni kulalamika zaidi..Kwakuwa mlichukua Kombe miaka 3.. Simba Tutachukua Kombe miaka 6-10, tutawatesa mno..Hongera TFF

This Is Simba SC
 
Manunuzi FC aka viporo 10 dah TFF nyie kiboko. Yaani mtu anaandaliwa mazigira mpaka inaudhi.
Nani kakuambia viporo ni kuandaliwa kushinda??Kwani wakati ule wakati tukishinda mechi zote tunakuwa nyuma yenu point 5 mfano mngeshinda zote hadi mmalize ligi na kuwa mabingwa sisi tukiwa na viporo 20 je ingekuwa na shida kwenu!?shida sio viporo kaka,shida kila MTU ashinde mechi zake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunanunua Yanga mbovu pamoja dola na chuma chakavu [emoji23] [emoji23]
 
TP Mazembe wapo kwenye ligi yao. Ahly vile vile. Tujiulize wanafanyaje wasiwe na Viporo vingi sana huku wanashiriki Club Bingwa ya Africa?
 
TP Mazembe wapo kwenye ligi yao. Ahly vile vile. Tujiulize wanafanyaje wasiwe na Viporo vingi sana huku wanashiriki Club Bingwa ya Africa?
Simple,ili usiwe na viporo unatakiwa upange ratiba kwa mfumo wa kalenda ya Fifa..mfumo ambao unazingatia uwepo wa mechi za kimataifa za vilabu na nchi,pia makombe madogo ya ndani kama FA Cup.Mifumo hii tunaweza kuwaiga wenzetu ulaya ila huku hatuzingatii,nadhani ni kwa sababu ushiriki wetu kimataifa haufikii ngazi za juu kabisa za mashindano ndio maana tunapuuzia,ratiba ilitakiwa iwe imepangwa tangu Mwanzo zile tarehe mwakilishi wa nchi anakuwa na mechi za ligi zinakuwa hazipo na hiyo unaacha wazi hadi tarehe ya fainali bila kujali kama timu yenu itafika huko au lah.Sisi hatuko tayari kufanya hivi.Lakini siwalaumu,labda Siku moja timu ya nchi kama Croatia ikiingia Uefa Champion league Final tunaweza shuhudia na yenyewe ikiwa na viporo.Sijui

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…