Kuelekea mechi ya 'TPL' Simba SC dhidi ya Mbao FC, Moto wa Mnyama Kuendelea Kuwaka

Kuelekea mechi ya 'TPL' Simba SC dhidi ya Mbao FC, Moto wa Mnyama Kuendelea Kuwaka

Uwanja hauko friendly, lakini hizi mbao leo tunaezekea banda la kufugia wazembe
 
Katika vitu ambavyo sasa hivi nina uhakika navyo ni
1. Uwepo wa Mungu

2. Kufariki Dunia

3. Simba Sc Kushinda mechi zote zilizo baki hasa hizi za level ya UMISETA, wenyewe mnaita TPL sijui.
Sina uhakika wa kula usiku wa leo lakini nina uhakika Simba inashinda hii game. Wala sijajisumbua kwenda kuangalia hii mechi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakati wowote mpira utakwisha Jamhuri Stadium..

90+3' Naaaaam mpira umekwisha, Simba ameibuka na ushindi wa mabao 3 bila majibu

Bocco 2, Kagere 1

Simba SC 3 -0 Mbao FC.
 
Katika vitu ambavyo sasa hivi nina uhakika navyo ni
1. Uwepo wa Mungu

2. Kufariki Dunia

3. Simba Sc Kushinda mechi zote zilizo baki hasa hizi za level ya UMISETA, wenyewe mnaita TPL sijui.
Sina uhakika wa kula usiku wa leo lakini nina uhakika Simba inashinda hii game. Wala sijajisumbua kwenda kuangalia hii mechi

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] SimbaNguvuMoja
 
Back
Top Bottom