kasimba123
JF-Expert Member
- Apr 18, 2010
- 1,753
- 816
Kabisa bold hapo faradhihahahah kwamba timu pinzani kufungwa na Simba ni Faradhi,,,sio swala la sunna tena!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa bold hapo faradhihahahah kwamba timu pinzani kufungwa na Simba ni Faradhi,,,sio swala la sunna tena!
hahahahKabisa bold hapo faradhi
Huyu jamaa wanasimba anatufanyia kazi mbili at the same time [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Zana Coulibaly...Anacheza huku akichekesha [emoji23][emoji23][emoji23]
Simba SC 3-0 Mbao FC
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji38] [emoji23]Kuna watu huko walipo sasa hivi wanajiuliza maswali yasiyo na majibu
(hivi hawa simba watafungwa lini?) [emoji196]
Bamutu ba Congo munyama Simba ni mutu mubaya sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umetisha mkuu..Nadhani uliangalia rekodi yetu..SimbaNguvuMoja
Hahahaaa. Mie sijambo kabisa sijui weye Dada?Nakusalimia tu mm hivi jana mlikua mnashangilia nini
😅😅😅 Dada nimecheka hili swali. Inamaana hata hukutaka kuuliza ukaamua kubaki na dukuduku mpaka leo 😅😅Nakusalimia tu mm hivi jana mlikua mnashangilia nini
Niliiona aiseee Mtani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]swahiba miss youNiliiona aiseee Mtani.
Miss you too Swahiba. Ila tunapishana sana aisee.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]swahiba miss you
Hivi bado mnacheza ligi kweli?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye hii Safari naona kabisa mmekaa siti ya dereva Sasa sijui tutaondokajeMiss you too Swahiba. Ila tunapishana sana aisee.
Ndio na Alhamis tuna mechi.