Mkuu, hili mweleze Haji. Hawezi kuongea bila kuitaja Yanga.Ukiona wanakujadili ujue wanakukubali...SimbaNguvuMoja
Tema mate chini, Maddie kwa sasa anafanya mazoezi ya kwenda kusuguliwa na waarabu, akikolezwa vizur harudi tena!Stend wapigwe nne, wagawane na wifi yake Yanga. Meddie nisugulie Yanga mpaka hamu ziishe,ili ukiwa Algeria asitoke nje ya ndoa yenu
Hivi tutafungwa lini simba?Mnyama ameshusha mizigo 2 kwenye Stand ya Shinyanga[emoji23][emoji23][emoji23]