Kuelekea mechi ya 'TPL' Stand Utd dhidi ya Simba SC, Mnataka Mfungwe Mabao Mangapi?

Haya bana Mtani ila angalia tu isiwe mizito tu wakati wa kuishusha huko Algeria.
Mtaniiiii naona siku hizi unanenepa tu yote hiyo ni kwa sababu ya Simba, halafu kuhusu hiyo mizigo usiwe na wasiwasi kabisa maana tunakwenda kuwaachia wabaki nayo halafu sisi tunachukua tiketi yetu ya robo fainali na kurudi nayo kwa shangwe.

Simba nguvu moja
 
Naitunza hii kauli yako Mtani. Nisipokuwepo Jumapili asubuhi basi jumatatu ntakuja tuone kama itakuwa na ukweli kwa % ngapi
 
Back
Top Bottom