100 Likes
JF-Expert Member
- Nov 5, 2018
- 2,416
- 5,165
Nishituke wapi. Nimejikuta nabumbuazika tu Mtani.
Mtani hali ya Simba kwa sasa ndiyo hiyo, ukubali kufungwa au usiingize timu uwanjani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nishituke wapi. Nimejikuta nabumbuazika tu Mtani.
Mtani hali ya Simba kwa sasa ndiyo hiyo, ukubali kufungwa au usiingize timu uwanjani.
[emoji3][emoji3] Sawa. Japo najua ikiwa kinyume chake sitakuona.Insha'Allah...Huku tukiwa tayari tumemkalisha Stand Utd kwa kiwango cha Dreamliner[emoji23][emoji23]
Sasa Mtani hiyo rungu ambayo inafanya kazi ndani tu ila ukiitumia nje ya hapo huwa hamna kitu si hatari sana hiyo kwa Afya za wale wanaoiamini.Kwani Waarabu wangapi wamefia kwa Mchina ukishuhudia?
Ghazwat kashakuambia, Simba ni kama Rungu, inadili na wadudu wote wanaoruka na kutambaa.
Sasa Mtani hiyo rungu ambayo inafanya kazi ndani tu ila ukiitumia nje ya hapo huwa hamna kitu si hatari sana hiyo kwa Afya za wale wanaoiamini.
Juzi niliota nashabikia Jangwani ebhana eeeeh..!Huko mnakuweza wenyewe.
Halafu itakuwa mnaipenda Yanga nyie maana kuna Nguvu moja mwenzako naye majuzi aliota kama wewe. Ila yeye aliishia kulia tu.Juzi niliota nashabikia Jangwani ebhana eeeeh..!
Nilipokurupuka kwenye ile ndoto, Nilikasirika sana nikajipiga piga kichwa, yaani nusura niende kujitupa baharini..!
Mungu aniepeshe na mambo haya[emoji23][emoji23]
Kuna mechi imeanza ya Yanga hebu anzisha uzi tupeane updatesHalafu itakuwa mnaipenda Yanga nyie maana kuna Nguvu moja mwenzako naye aliota kama wewe. Ila yeye aliishia kulia tu.
Sanchez magoli huyo.
Uwiii. Sijuagi hata uzi unaanzishwaje Mkuu.Kuna mechi imeanza ya Yanga hebu anzisha uzi tupeane updates
Au hamtaki tushuhudie mkifungwa Mkuu
Dada we mkongwe bhana utakua unajua!labda tu huna uhakika na ushindi wa timu yakoUwiii. Sijuagi hata uzi unaanzishwaje Mkuu.
Mwenyez Mungu Akuepushe N NuksiJuzi niliota nashabikia Jangwani ebhana eeeeh..!
Nilipokurupuka kwenye ile ndoto, Nilikasirika sana nikajipiga piga kichwa, yaani nusura niende kujitupa baharini..!
Mungu aniepeshe na mambo haya[emoji23][emoji23]
Rungu yapulizwa ndani ya nyumba ili mbu(yanga) asilete bughudha ndani. Maana mbu akitoka kwenye madimbwi ya maji hukimbilia ndaniSasa Mtani hiyo rungu ambayo inafanya kazi ndani tu ila ukiitumia nje ya hapo huwa hamna kitu si hatari sana hiyo kwa Afya za wale wanaoiamini.
Ameen mkuu Van pebles kwa kufikia kutaka kujitupa baharini kwa maana sikutaka kusikia ile Nuksi[emoji23]