Kuelekea mechi ya 'TPL' Stand Utd dhidi ya Simba SC, Mnataka Mfungwe Mabao Mangapi?

Kuelekea mechi ya 'TPL' Stand Utd dhidi ya Simba SC, Mnataka Mfungwe Mabao Mangapi?

Mashabiki wa Simba wapo active sana mechi ya kesho lakini Uzi tayari,lakini Yanga mechi inaendelea hakuna hata uzi wa kupeana updates
 
Juzi niliota nashabikia Jangwani ebhana eeeeh..!

Nilipokurupuka kwenye ile ndoto, Nilikasirika sana nikajipiga piga kichwa, yaani nusura niende kujitupa baharini..!

Mungu aniepeshe na mambo haya[emoji23][emoji23]
Halafu itakuwa mnaipenda Yanga nyie maana kuna Nguvu moja mwenzako naye majuzi aliota kama wewe. Ila yeye aliishia kulia tu.

Sanchez magoli huyo.
 
UPDATE;

67' Alliance FC 0-0 Yanga SC

Yanga wakosa mkwaju wa tuta, huku Alliance FC wakikataliwa bao.
 
Rest In Peace In Advance Stend Chama LA Wana
Wana tulikupenda ila Simba tunaipenda zaidi.
 
Back
Top Bottom