JUMAMOSI πhivi tutafungwa lini sisi mtani?
hahaha tusubiri mtani.JUMAMOSI π
Mtaniiiii naona siku hizi unanenepa tu yote hiyo ni kwa sababu ya Simba, halafu kuhusu hiyo mizigo usiwe na wasiwasi kabisa maana tunakwenda kuwaachia wabaki nayo halafu sisi tunachukua tiketi yetu ya robo fainali na kurudi nayo kwa shangwe.Haya bana Mtani ila angalia tu isiwe mizito tu wakati wa kuishusha huko Algeria.
Mtaniiiii naona siku hizi unanenepa tu yote hiyo ni kwa sababu ya Simba, halafu kuhusu hiyo mizigo usiwe na wasiwasi kabisa maana tunakwenda kuwaachia wabaki nayo halafu sisi tunachukua tiketi yetu ya robo fainali na kurudi nayo kwa shangwe.
Simba nguvu moja
Sawa tuombee basi mtani ili tukafanikishe lengo letu halafu kama unavyojua si kwaajili ya Simba tu bali ni Taifa zima kwa ujumla.Naitunza hii kauli yako Mtani. Nisipokuwepo Jumapili asubuhi basi jumatatu ntakuja tuone kama itakuwa na ukweli kwa % ngapi
Ndio tunapanda pipa leo mchana, ndio raha ya kuwa na fweza. Mwanza -Dar pipa jana hiyo leo tena pipaYALIYOPITA SI NDWELE TUGANGE YA JS SOURA SASA SWAHIBA.
HongereniNdio tunapanda pipa leo mchana, ndio raha ya kuwa na fweza. Mwanza -Dar pipa jana hiyo leo tena pipa