Kuelekea mechi ya VPL' Simba SC dhidi ya Mtibwa Sugar, Safari ya Ubingwa Inaendelea

Hizi kauli hawazitakagi ujue jirani. Wao wanataka zile za kwamba watachukua Kombe. Teh teh
Wana mikakati mizito sana. Safari hii wamepanga kufika nusu fainali ya CAF CL. Ngoja tuone mana wamesajili kwelikweli. Sisi Yanga tutacheza kesho na Zesco tutawasubiria wao wikiendi ijayo tuone watafanyaje kwenye michuano ya kimataifa ha ha ha ha
 
Maisha hayawezi kubalance mzani asee, Yanga inajiwinda na Zesco Simba nguvu zote kwa mtibwa
Exactly mkuu, maisha hayana usawa aisee!

Wengine Klabu Bingwa wamevuja jasho lao huku wengine wakienda kwa kubebwa [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Manara anaona hata aibu kuita vikao vya waandishi wa habari... na kuanza mbwembwe zake.... aite waandishi kwa ajili ya mtibwa sasa....

kweli maisha ni kama gwaride. wanayanga tunaiwaza game na zesco .. simba anawaza game na mtibwa
Hana ubavu huo saa hivi anajifanya muhamasishaji National Team. Teh teh
 
Wana mikakati mizito sana. Safari hii wamepanga kufika nusu fainali ya CAF CL. Ngoja tuone mana wamesajili kwelikweli. Sisi Yanga tutacheza kesho na Zesco tutawasubiria wao wikiendi ijayo tuone watafanyaje kwenye michuano ya kimataifa ha ha ha ha
Hahahahaaa!!!!!! Walijua kufika nusu fainali ni kama kunywa chai. πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Na leo si ajabu kidagaa kikaingia mchanga tena mbele ya Ntibwa.
 
Tumewashika pabaya mwaka huu. Yaani siamini kama mnaeza andika kinyoonge namna hii Ses. 😎😎😎
Si tupo wote kwenye ligi ya TPL? Nilikwambia tutawapakata ndani nje msimu huu, si unajua tena mume mumeo tu hata ukiwa na cheo huko kimataifa ukirudi nyumbani lazima upige goti
 
Nasikia mnacheza na AS Mtibwa ya Somali land
 
Exactly mkuu, maisha haina hana usawa aisee!

Wengine Klabu Bingwa wamevuja jasho lao huku wengine wakienda kwa kubebwa [emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa Mtaniii si msingevuja tu hilo jasho . πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Kama mlishajiona mlivuja jasho yawabidi mshukuru tu sasa sababu kama usemavyo maisha hayana usawa na ndio sababu sisi tunazungumzia mechi na Zesco nyie mnazungumzia habari za Mtibwa. Teh teh
 
Turiani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…