Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acheni ramli chonganishi bana Shadeeya
Mwakan Tarehe kama hii, tucheke pamoja ndani ya nyumba.Nakusalimia dada akee
Huna lolote wewe! Mpira wenyewe hujui bado una ushabiki maandazi na matusi tu, soma ubaoni matokeo 2-1 hoi ya ushindi uliona wapi.
FT: Zesco United 3 -0 Yanga SC
Nyumba ipi hiyoMwakan Tarehe kama hii, tucheke pamoja ndani ya nyumba.
Unajua maana ya aggregate ?Aggregate Simba 1 vs AS Mtibwa 1
Mzima wa afya kabisa mkuu mambo niaje?Mkuu hujambo
Ndani kwangu , nyumba ya Putin.Nyumba ipi hiyo
Nakuchoreni mikia mmewafunga AS Mtibwa ila wanepata away goal...fala unajifanya unajua wakati hata kwa waingereza hujafika..mkia weweUnajua maana ya aggregate ?
HEBU TUDOKEZEE ILE MECHI YA YANGA NA RUVUNakuchoreni mikia mmewafunga AS Mtibwa ila wanepata away goal...fala unajifanya unajua wakati hata kwa waingereza hujafika..mkia wewe