Kuelekea mechi ya VPL' Simba SC dhidi ya Mtibwa Sugar, Safari ya Ubingwa Inaendelea

Kuelekea mechi ya VPL' Simba SC dhidi ya Mtibwa Sugar, Safari ya Ubingwa Inaendelea

20' Goooooooal Mtibwa Sugar wanasawazisha kupita kwa Riffat kufuatia mpira wa Kona.

Simba SC 1-1 Mtibwa Sugar
 
35' Kutoka Uwanja wa Uhuru..Mashambulizi nikwa pande zote huku Simba wakitawala eneo la kati

Simba SC 1-1 Mtibwa,Sugar
 
45+2'

Kuelekea kuwa mapumziko uwanja wa Uhuru.

Naaaaaaaaaaaaaaam mpira ni mapumziko timu zote zikitoka uwanjani kwa bao moja kwa moja

Simba SC 1-1 Mtibwa Sugar
 
Yaani ...
Manara anaona hata aibu kuita vikao vya waandishi wa habari... na kuanza mbwembwe zake.... aite waandishi kwa ajili ya mtibwa sasa....


kweli maisha ni kama gwaride. wanayanga tunaiwaza game na zesco .. simba anawaza game na mtibwa
 
Simba inapata bao la pili mfungaji akiwa ni athuman miraji
 
Back
Top Bottom