Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kudalanduka.... ..Kagere kachomoa betri
Wanategemea Tifutifu zaidi pale Karume.Simba hakuna timu!
Manara anaona hata aibu kuita vikao vya waandishi wa habari... na kuanza mbwembwe zake.... aite waandishi kwa ajili ya mtibwa sasa....
kweli maisha ni kama gwaride. wanayanga tunaiwaza game na zesco .. simba anawaza game na mtibwa
Shemeji yake labda.Manula anazingua sana! Sijui huyu kocha anampendeaga nini yaani
.Wapambambanaji wetu leo hii hawa hapa...SimbaNguvuMojaView attachment 1206363
Hoiiiii...35' Kutoka Uwanja wa Uhuru..Mashambulizi nikwa pande zote huku Simba wakitawala eneo la kati
Simba SC 1-1 Mtibwa,Sugar
Kwan kafanya kosa gani?Manula anazingua sana! Sijui huyu kocha anampendeaga nini yaani
Vipi Mkuu, wanafanyaje?Aah aah hawa wabrazili wataiua simba