Kuelekea mechi ya VPL' Simba SC dhidi ya Mtibwa Sugar, Safari ya Ubingwa Inaendelea

Mnyama mkali Simba sc tafuna hao wakata miwa
Simba nguvu moja
Simba bingwa 2019/2020
 
05' Kipute kiameanza Uwanja wa uhuru

Simba SC 0-0 Mtibwa Sugar
 
07' Simba wanafanya mashambuzi lango la Mtibwa Sugar

Chama anapiga shuti kali lakini golikipa anaokoa
 
10' Simba SC wamekuwa bora kwa kupeleka mashambulizi lango Mtibwa huku wakipata kona 3 ambazo hazikuzaa matunda

Simba SC 0-0 Mtibwa Sugar
 
Mashabiki wamejitokeza kwa wingi huko Ghazwat?
 
Mtibwa kama Ud Songo kajitwalia mwali sioni utashindwaje na ww kujipigia huyo mwali mbili
 
15' Haruna Chanongo anapenyesha mpira wa chini, lakini Nyoni anaokoa

Simba SC 0-0 Mtibwa Sugar
 
17' Goooooooooooooooooooaaal goooooooal MK 14 Maddie Kagere anaandika bao la kwanza akipokea pasi safi kutoka kwa Shiboub

Simba SC 1-0 Mtibwa Sugar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…