Kuelekea michuano ya Afcon 2019 uko Misri njooni tubashiri timu tutakazo kutana nazo

Manofu

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2018
Posts
1,317
Reaction score
2,020
Leo saa tatu usiku kwa saa za Africa mashariki kule Misri kutakuwa na shughuli ya upangaji wa makundi kwa timu 24 ambazo zimefudhu kucheza michuano hii mikubwa kabisa kwa timu za taifa katika bara la Africa.

Vimewekwa vyungu vinne vikiwa na timu sita sita kila chungu na timu zimepangwa kulingana na viwango vya Fifa vya mwezi wa nne.

Pot 1.....Misri-Cameroun-Morocco-Nigeria-Senegal-Tunisia

Pot 2......Dr Congo-Ghana-Mali-Ivory cost-Guinea-Algeria

Pot 3......Uganda-Benin-Mauritania-Madagascar-Kenya-South Africa.

Pot 4......Zimbabwe-Namibia- Guinea Bissau-Angola-Tanzania-Burundi.

Rule of the game. Nikwamba timu kwenye chungu kimoja haziwezi pangwa pamoja kwahyo kila chungu kitatoa timu moja ambazo zitaungana pkutengeneza kundi. Karibuni tujitabilie kundi letu waungwana.
 
Kundi C

Senegal
Mali
Mauritania
Tanzania

""...IF PIANO IS OUT OF TUNE, THE MUSICIAN WILL FAIL, NO MATTER HOW MUCH OF A MUSICIAN HE MAY BE...""
 
Kundi C

Senegal
Mali
Mauritania
Tanzania

""...IF PIANO IS OUT OF TUNE, THE MUSICIAN WILL FAIL, NO MATTER HOW MUCH OF A MUSICIAN HE MAY BE...""
Hivi kama ikiwa hvyo hapo tunamfunga nani kwa mfano?
 
Mali na Mauritania hawa viwango vyetu kabisa

Ngoja tuone pengine tunaweza ludi kabisa na kikombe.
 
Ngoja tuone pengine tunaweza ludi kabisa na kikombe.
Lolote lawezekana

""...IF PIANO IS OUT OF TUNE, THE MUSICIAN WILL FAIL, NO MATTER HOW MUCH OF A MUSICIAN HE MAY BE...""
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…