Manofu
JF-Expert Member
- Nov 3, 2018
- 1,317
- 2,020
Leo saa tatu usiku kwa saa za Africa mashariki kule Misri kutakuwa na shughuli ya upangaji wa makundi kwa timu 24 ambazo zimefudhu kucheza michuano hii mikubwa kabisa kwa timu za taifa katika bara la Africa.
Vimewekwa vyungu vinne vikiwa na timu sita sita kila chungu na timu zimepangwa kulingana na viwango vya Fifa vya mwezi wa nne.
Pot 1.....Misri-Cameroun-Morocco-Nigeria-Senegal-Tunisia
Pot 2......Dr Congo-Ghana-Mali-Ivory cost-Guinea-Algeria
Pot 3......Uganda-Benin-Mauritania-Madagascar-Kenya-South Africa.
Pot 4......Zimbabwe-Namibia- Guinea Bissau-Angola-Tanzania-Burundi.
Rule of the game. Nikwamba timu kwenye chungu kimoja haziwezi pangwa pamoja kwahyo kila chungu kitatoa timu moja ambazo zitaungana pkutengeneza kundi. Karibuni tujitabilie kundi letu waungwana.