Vito Ferari
JF-Expert Member
- Mar 31, 2022
- 290
- 416
Malengo ni kuchukua ubingwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda useme kombe la Mapinduzi, Yanga na kimataifa wapi na wapi.Kufuatia gazeti la michezo la Mwanaspoti la leo Mei 6,2022 kuandika kuwa sare ya Simba SC dhidi ya Namungo FC na Azam FC kupoteza mchezo dhidi ya Kagera Sugar, Yanga SC yatanguliza kwenye michuano ya CAF.
Kwa kuwa kila timu inaposhiriki michuano yoyote, lazima wajiwekee malengo kwa kile ambacho wanakiamini kuwa wanaweza, baada ya kupata maandalizi ya kutosha.
Kwa kuwa Mwanaspoti wamesema hivyo mapema kabisa..Je katika malengo matano haya, Yanga safari hii malengo yenu kwenye michuano ya CAF ni kufika hatua gani?
1. Makundi.
2. Robo Fainali.
3. Nusu Fainali.
4. Fainali.
5. Kombe la CAF.
Wenu: Ghazwat, Ekuweme
Yaani utoke kigamboni uende ukacheze nusu fainali klabu bingwa, acheni utani na masihara.Kipaumbele Cha Yanga kiwe kuimarisha timu Kwa kuongeza wachezaji wenye uzoefu wa mashindano na uwezo mkubwa na kuondoa wachezaji wenye viwango vya wastani.
Wakumbuke Yanga inahitaji matokeo isiwe kituo Cha kukuza vipaji waje wachezaji watakao ingia first eleven mojakwamoja na kwenda kwenye mashindano ya Caf na kufikia hatua za nusu au final.
Hapo kwa Peter Banda ulimaanisha Abdi Banda bila shaka.Malengo yao ni kwenda kutetema kwenye Preliminary round then Warudi jangwani kufuga vyura waanze kuandika makala za kuitukana Simba waseme ni ya Peter Banda.
Jibu mujarab kabisaKipaumbele Cha Yanga kiwe kuimarisha timu Kwa kuongeza wachezaji wenye uzoefu wa mashindano na uwezo mkubwa na kuondoa wachezaji wenye viwango vya wastani.
Wakumbuke Yanga inahitaji matokeo isiwe kituo Cha kukuza vipaji waje wachezaji watakao ingia first eleven mojakwamoja na kwenda kwenye mashindano ya Caf na kufikia hatua za nusu au final.
Chukueni kombe ila msimu ujao msiposajili wachezaji wazuri nauona mwaka mgumu sana kwa manara na mashabiki wa yanga kiujumlaHili swali tuulize mara baada ya kukabidhiwa ubingwa wa Ligi kuu na pia ule wa kombe la Shirikisho la Azam.
Kwa sasa akili zetu zote tumezielekeza huko.
Yanga hii hii hata makundi hawatoboi ubingwa wenyewe wa kuhonga marefaKipaumbele Cha Yanga kiwe kuimarisha timu Kwa kuongeza wachezaji wenye uzoefu wa mashindano na uwezo mkubwa na kuondoa wachezaji wenye viwango vya wastani.
Wakumbuke Yanga inahitaji matokeo isiwe kituo Cha kukuza vipaji waje wachezaji watakao ingia first eleven mojakwamoja na kwenda kwenye mashindano ya Caf na kufikia hatua za nusu au final.
Msimu ujao kama mambo yatakwenda kombo...Yule lopolopo hakawii kusema Yanga si baba yangu wala si mama yangu.Chukueni kombe ila msimu ujao msiposajili wachezaji wazuri nauona mwaka mgumu sana kwa manara na mashabiki wa yanga kiujumla
Lazima tuongeze mshambuliaji mwenza wa kumsaidia Mayele, kiungo mshambuliaji, beki 3 wa kwenda kikosi cha kwanza moja kwa moja, nk.Chukueni kombe ila msimu ujao msiposajili wachezaji wazuri nauona mwaka mgumu sana kwa manara na mashabiki wa yanga kiujumla
Wafungaji Wenu Kule Mbele Wote Butu Siku Hizi, Kupiga Penalty Ndo Kabisaaaa Hamjui [emoji23], Sasa Sijui Mtatutoa Kwa Staili Gani Iyo Nusu Fainali Msimu Huu [emoji23]Hamuwezi kufua dafu Kombe la Shirikisho la Azam.. Huko kwingine kuna dalili..!
Sasa unauliza vp malengo ya next season wakati season hii bado haija isha?Ilikuwa Nusu Fainali, lakini tumeishia robo fainali
Tutaanza tulipoishia kwenda kwenye lengo..! Hatufichi kitu tunaweka bayana
Huo ushauri peleka timu yako sisi tuna viongozi wanajua nini wanafanyaChukueni kombe ila msimu ujao msiposajili wachezaji wazuri nauona mwaka mgumu sana kwa manara na mashabiki wa yanga kiujumla
Petro Luanda hajawahi kuishia robo fainali CAF, lakini sasa hivi yuko nusu fainali? Hapo unasemaje?Kama Mtoto anazaliwa na kutembea moja kwa moja basi sawa..!
Mtachukua ubingwa kwa style hiyo
Umeeleweka mkuu . Hilo halina ubishi. Nakuunga mkono japo wewe ni mteja wa roporopo Manara ila umeongea kitu cha msingi.Lazima tuongeze mshambuliaji mwenza wa kumsaidia Mayele, kiungo mshambuliaji, beki 3 wa kwenda kikosi cha kwanza moja kwa moja, nk.
Lakini hata nyinyi pia mtatakiwa kuongeza nguvu pale mbele aisee. Wale wazee wenu kiukweli wamechoka sana. Mnatakiwa kutafuta wakina Kagere wapya.