Tetesi: Kuelekea Mkutano Mkuu wa CCM: Mbunge, Wajumbe na Katibu wa Mikoa wa Upinzani kujiunga CCM

Siasa za nchi hii bana haziishi majungu..uongo..fitina..uzandiki..ubazazi...utabiri..na usanii usioisha...ukiulizwa mtu kama wewe hii umetoa wapi huwezi kusema...utaangukia kwenye usanii...
 

Ahsante kwa taarifa Mapema Nnauye
 
Ni kweli yatokee yatakayotokeea yasemwe yatakayosemwa
maguhufuli,

wakiujiuge watakaojiunga na Cccm kesho

Lakini UpinzAni /ukawa /chadema

ndo wenye uhakika wa Kudumu zaidi ya kesho !!
 
Mbaya zaidi Ayatollah aliyesema kuwa hatakubali matokeo mpaka anaingia kaburini kakubali kuwa alishindwa kwa halali
 
Unanikumbusha mtu ambaye alibeba zigo la mavi akadhani ni sukari. Kwenda kufungua mbele Tobaaaaaaa! Ndivyo walivyo CHADEMA sasa.
Hahahaha mkuu Lizaboni sio yule aliyekuwa anachezea kijiti, anatupa kijiti kwenye maji kisha mbwa wake anaokota anamrudishia baadaye akajichanganya katupia simu ikala kwake mazima?
 
Umaskini wa akili ni kitu kibaya sana. Kuna nini kipyw Dodoma zaidi ya Magufuli kukabidhiwa uenyekiti ambao watu wasiokuwa na akili timamu wanadai anagombea? How does come in here? Naona hiyo job description ya kwamba ni lazima uposti anyyhing kuhusu chadema ndo upewe bk7 ni ngumu sana. Imewaondolea watu kufikiri. Vichwa vimebaki vya kufugia nywele tu. Njaa ya akili ni mbaya sana. Na huyo Magufuli akishapewa rungu huo mradi unakwisha. Mtaumbuka.
 
kwani c.cm. ndio inakulisha????
 
toka serikali ya magufuli mpaka ccm ya magufuli...kwanini JK anakua mgumu kupokea mkono wa rambirambi za msiba mzito wa ccm
 
Hebu nijiandae kujionea hayo 'maajabu' mie.
 
Hahahaha mkuu Lizaboni sio yule aliyekuwa anachezea kijiti, anatupa kijiti kwenye maji kisha mbwa wake anaokota anamrudishia baadaye akajichanganya katupia simu ikala kwake mazima?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…