Tetesi: Kuelekea Mkutano Mkuu wa CCM: Mbunge, Wajumbe na Katibu wa Mikoa wa Upinzani kujiunga CCM

....hawa ndio wale waliokuwa wanategemea Lowassa akishinda urais wapate kula, ni kuongozwa na tumbo tu, hakuna kingine!
 
Safari njema, ndo hivyo tena hautaonekana tena hata ukila hayo matapishi
 
kwa jinsi JPM alivowapania wasaliti bora huyu mzee angejiuzulu siasa tu akafanya kazi nyingine
 
Karibuni wote tujenge Chama, Nchi iwe salama...Ukawa ni Mashaka tu...
 
Kesho ni kesho asemaye keshokutwa mwongo.Kesho ni siku itakayowaliza CHADEMA wengi kwa kutoamini wanachokiona na kukisikia.

Ni siku ambayo Siasa za nchi hii zitabadilika kabisa.CHADEMA kitajikuta kama wakiwa katika siasa za Tanzania.Ni siku maalumu ya kuanza mitafaruku ndani ya CHADEMA itakayokisambaratisha CHADEMA na kuiweka CHADEMA kwenye Dustbin la siasa
 
Kuna nini cha ajabu ambacho akijawai kuikumba ccm?
Kama watu au mtu kuihama ukawa siyo ngeni najuwa ndiyo habari ambayo munahisi itawaumiza Upinzani mbona kawaidatu.

hamna kipya kitakachotokea kesho labda tu nyie musubiri kutimuana na wale ambao hawataki jamaa awe mwenyekiti
najua lazima Mutawatimua na kuwaita wasaliti.
 
Kesho ni kesho asemaye keshokutwa mwongo.Kesho ni siku itakayowaliza CHADEMA wengi kwa kutoamini wanachokiona na kukisikia.Ni siku ambayo Siasa za nchi hii zitabadilika kabisa.CHADEMA kitajikuta kama wakiwa katika siasa za Tanzania.Ni siku maalumu ya kuanza mitafaruku ndani ya CHADEMA itakayokisambaratisha CHADEMA na kuiweka CHADEMA kwenye Dustbin la siasa

Hujui lolote kuhusu CDM, mpiga ramli wako kakupeleka chaka!
 
Kesho ni kesho asemaye keshokutwa mwongo.Kesho ni siku itakayowaliza CHADEMA wengi kwa kutoamini wanachokiona na kukisikia.Ni siku ambayo Siasa za nchi hii zitabadilika kabisa.CHADEMA kitajikuta kama wakiwa katika siasa za Tanzania.Ni siku maalumu ya kuanza mitafaruku ndani ya CHADEMA itakayokisambaratisha CHADEMA na kuiweka CHADEMA kwenye Dustbin la siasa
Mbona utabiri wa aina hiyo ya kukitabiria kifo Chadema, alichautoa 'baba' yako Wassira miaka 5 iliyopita, tena huyo mzee alituhakikishia watanzania kuwa Chadema haitafika mwaka 2015 tutakuwa tumeshakizika hiko chama?

Sasa badala yake badala ya kufa Chadema imekuwa vice versa, kwa kuwa ni yeye Wassira ambaye 'amekufa' kisiasa..........

Kwa hiyo utabiri wako si mpya na unafanana na dua la kuku................

Na badala ya hiko chama kufa badala yake ndiyo kinazidi kuwa stronger and stronger hadi kusababisha vyombo vyote vya dola vikose usingizi, kutafuta mikakati ya kuidhibiti Chadema.........
 
Kesho ni kesho asemaye keshokutwa mwongo.Kesho ni siku itakayowaliza CHADEMA wengi kwa kutoamini wanachokiona na kukisikia.Ni siku ambayo Siasa za nchi hii zitabadilika kabisa.CHADEMA kitajikuta kama wakiwa katika siasa za Tanzania.Ni siku maalumu ya kuanza mitafaruku ndani ya CHADEMA itakayokisambaratisha CHADEMA na kuiweka CHADEMA kwenye Dustbin la siasa

Unaonekana umevurugwa wewe, Hujitambui.
 
Kesho ni kesho asemaye keshokutwa mwongo.Kesho ni siku itakayowaliza CHADEMA wengi kwa kutoamini wanachokiona na kukisikia.Ni siku ambayo Siasa za nchi hii zitabadilika kabisa.CHADEMA kitajikuta kama wakiwa katika siasa za Tanzania.Ni siku maalumu ya kuanza mitafaruku ndani ya CHADEMA itakayokisambaratisha CHADEMA na kuiweka CHADEMA kwenye Dustbin la siasa
Kumbe siasa zenu ni kwa ajili ya ChaDeMa na si kwa ajili ya raia?
 
Kesho ni kesho asemaye keshokutwa mwongo.Kesho ni siku itakayowaliza CHADEMA wengi kwa kutoamini wanachokiona na kukisikia.Ni siku ambayo Siasa za nchi hii zitabadilika kabisa.CHADEMA kitajikuta kama wakiwa katika siasa za Tanzania.Ni siku maalumu ya kuanza mitafaruku ndani ya CHADEMA itakayokisambaratisha CHADEMA na kuiweka CHADEMA kwenye Dustbin la siasa
Mtaishi kwa uzushi hadi lini? Aliondoka Slaa mkasema hivyo hivyo, Chadema haijengwi na mtu mmoja..... it is too late now!! Yule mwenzio alienzisha uzi hapa jukwaani kwamba before tarehe 23 July kiuna wabunge na viongozi wazito wataondoka Chadema naona kakimbia uzi wake mwenyewe hahahahahhaaa
 
Back
Top Bottom